Ninapenda kutangazia wanaccm wote akiwemo katibu wa uenezi na itikadi ndugu Nape Naunye kuwa mm MAMBOKI leo nimeamua kujiunga na CHADEMA. Na kadi yao ya ccm nimempa mjumbe wangu. Kuna mambo ambayo yamenifanya nione serikali ya ccm haifai ambazo ni 1:tukio la shambulio la bomu arusha na kauli mbaya za wanaccm 2:uongozi mbaya wa ccm 3:rushwa ndani ya chama 4:kupanda kwa gharama za maisha na mengine mengi USHAURI Ningependa kuwashauri vijana wenzangu ambao wapo ndani ya chama cha mapinduzi kuwa wamepotea mkombozi wa taifa hili ni CHADEMA . MWISHO NDUGU NAPE ACHANA NA SIASA ZA KIJINGA ZINAZOFANYWA NA CCM WAOMBE RADHI CHADEMA NA UJIUNGE NA CHADEMA.