Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Wewe duchi, CCM mlisema mna propaganda nyingi ambazo bado hamjazitumia. Huenda haya mabomu ni moja kati ya hizo propaganda za CCM. Lengo la kutupa mabomu ni kuwatisha watanzania. Tumeshazijua mbinu zenu. Endeleeni kutumia hizo propaganda na kuua watanzania wasio na hatia. Ila mkumbuke 2015 ndio mwisho wenu