Ninaishi na maumivu

Acha nitoke kwenye huu uzi, maana hata nguo zake zipo bado, nilienda mwezi wa 7 kutengeneza kaburi lake, nikakuta pembezoni kuna makaburi mapya ya malaika wengine, niliumia sana sana, bora ningekufa mie ila mtoto akabaki nae ale maisha 🙌
Pole sana
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Oh Eve.
 
sorry
 
Mungu wa mbinguni aufikie moyo wako na kuufariji,

Faraja ya vitu na watu n dhaifu mno.

Yeye n mfariji mkuu na mwenye nguvu kuliko chochote.

Upone,pole sana mtu wa Mungu.

I remember mama mmoja aliyepoteza watoto wake wote 6 kwenye ajali moja.

Ninafkiria moyo wake ulipondeka kias gan.
 
Hakuna kitu naumia kama kuona mtoto akiumwa au akifa, natamani ulimwengu ungefanya watoto wote wawe na furaha tu hadi wakifika umri wa utu uzima,
Pole sana Eve na Kapeace siwezi kuyabeba maumivu yenu ila ninayahisi.
 
Oh Mungu ohh Yesu mpokee mtoto wetu huyu Mungu mpe pumziko la milele mtoto wetu,ni majonzi ni masikitiko poleni sana Evelyn
 
Pole sana, Mungu akutangulie kwenye imani.
 
Soo sad yani …inauma sana kupoteza mtoto mdogo kama huyu..hili jambo ndilo huwa linanifikirisha sana…why why Mungu ana ruhusu haya maumivu? Mbona hawa wenzetu waliishi miaka mingi tuu na pamoja kuwa na maovu?
Angali kizazi cha Adam pamoja na kuhasi lakini miaka walio ishi ilikuwa mingi wengi wao hawakufa wakiwa wadogo hivi why?


„And Seth was a hundred and five years old when he became the father of Enosh:--Genesis 5:6”

Pole sana Mwl Evelyn Salt maumivu uliyonayo hakuna wa kuyabeba ni muda pekee utayaponya na utapoa…inauma sana sana ! Mungu ni mwema kila wakati pamoja na maumivu…
Poleeeee😭😭😭😭😭
 
Hakuna kitu naumia kama kuona mtoto akiumwa au akifa, natamani ulimwengu ungefanya watoto wote wawe na furaha tu hadi wakifika umri wa utu uzima,
Pole sana Eve na Kapeace siwezi kuyabeba maumivu yenu ila ninayahisi.
Acha Dr nilikuwa nikilala nasikia mtoto akilia, mpaka sasa imefanya usingizi wangu uwe wa tabu sana,

Ndo hivyo unalipokea unashukuru unalia unalaumu unasahau unakumbuka,,ilibidi nitafute msaada kwa wanasaikolojia, tiba yake ni kupata tu mtoto/watoto wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…