Ninaiona fursa kwa Daktari Tulia Ackson kuwa Spika wa bunge la JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,922
Hesabu zinazopigwa sasa ni za kufikirisha zaidi kuliko kuzishabikia. CAG anaweza kuwa chambo tu cha kuifanya equation ibalance yaani una mihimili mitatu yenye madaktari wanaoongea lugha moja ya kisomi.

Wewe unaamini Kitwanga alilewa bungeni?

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa mujibu wa CAG hata Tulia ni sehemu ya bunge dhaifu
Hahahaa...... Daktari Tulia katulia tuli anasubiri SAA yake. Unamkumbuka yule mbunge aliyempa mwanae mchanga jina la Tulia baada ya kuvutiwa na utendaji wa NS ambaye baadae kidogo akateuliwa kuwa Naibu Waziri!
 
Hesabu zinazopigwa sasa ni za kufikirisha zaidi kuliko kuzishabikia. CAG anaweza kuwa chambo tu cha kuifanya equation ibalance yaani una mihimili mitatu yenye madaktari wanaoongea lugha moja ya kisomi.

Wewe unaamini Kitwanga alilewa bungeni?

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Huyo ndio kimeo kuliko hata Ndugai , na itakuwa kashfa kubwa sana kwa Bunge la Tanzania kwa mcheza shoo wa wimbo wa Nyegezi huko burundi kuongoza bunge .
 
Mtu anayefaa kuwa spika kwa sasa ni Yule Mbunge wa Ilala.
Nadhani Musa Azan kama sijakosea.

Mzee Chenge kama sio Kashfa za kisiasa namuona kuwa ni Refa mzuri sana wa Bunge na anayejiamini!!

Vinginevyo wamtafute sasa Spika Toka Zanzibar.
Wazanzibar kwa asili na Imani yao ni wachamungu na hawapendi kulazimisha haram kuwa halali.
Pia wazanzibari sio wabinafsi sana.
Ajitokeze Mzanzibar agombee uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyepo kwa kweli anamuangusha Rais kwa kufifisha Mijadala yenye tija kwa Taifa na kumpa Rais na wateule wake kama wakuu wa mikoa na wilaya kazi ngumu sana.
Tumeona udhaifu uliopelekea kupitisha sheria dhaifu iliyounda kikokotoo kisichofaa na kuleta mtafaruku kwa wafanyakazi jambo ambalo Job alipaswa awasikilize wabunge na kuweka maslahi ya nchi mbele .
Rais aliunda kikao chake na kutoa majibu mazuri tofauti na Bunge linalolipwa kwa ajili hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He he he he
imekusoma sana mkuu.

Kwamba yawezekana Ndugai kaundiwa zengwe halafu na yeye kwa kukurupuka kaingia 18??
Labda pia Kitwanga anaweza kuwa Naibu Spika soon.
 
Back
Top Bottom