Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

Duh!!....

Pole sana mamy

Kuna mdau mmoja kasema sijui upo wapi na mtu asiyejulikana sijui unafanya nini vile kapeace [emoji1] [emoji1]

Jamaa anakutuhumu sana mkuu [emoji125]
Atakuaa ametoka kuvuta bangi yule
 
akili itakurudia pale utakapofirisika , kuwa na akili wewe
 
Wewe endelea kuhonga. Kuna mchizi anajimegea bure kwa Mali kauli.
 
Unahonga mpaka unakosa pesa ya kununua dawa ya mswaki.. Sasa unanuka mdomo
Pamoja na kuhonga kwako hawakutaki.
 
Ninahonga kupitiliza.Mwanamke akiniomba pesa niko radhi nishinde njaa kuliko kumyima pesa.Niko radhi nikope, niko radhi niombe ombe ilimradi nimridhishe.

Juu ya yote kwa kupingwa vibuti ninaongoza.Kila siku naachwa licha ya kuwa nina huruma.Sijui nimerogwa, yani vijicenti vyangu vyote vinakwenda tu.
Mkuu nakushauri wange hawa halafu uje unipe mrejesho...
uhonge vizuri lakini sio buku jero...
pitia kwa hawa kwanza
Miss chagga lara1 khantwe madame B Snowhite kaunga
 
Pole sana...

Next time usihonge... wewe toa tu, na ukitoa toa bila kukumbuka wala kudai fidia...


cc: mahondaw
 
wanawake hawapend kusujudiwa kwa kifupi ukiwa unapenda kutimiza kila hitaji la mwanamke atakuona ni mtu usiejiamin..siku nyingine akikuomba pesa unamkazia macho na kumwambia sina
 
Back
Top Bottom