Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

Kwanza wewe ni domo zege, pili akili yako haitoshelezi matumizi yako.
 
Unauza sera kiujanjaujanja e?
Ngoja miss natafuta akumbane naww,utahonga kwel kama ulikuja kuturusha stimu hapa.
 
Sawa uje inb
Nihonge wewe basi mkuu
sawa uje inbox ila samahani mimi huwa sihongi za mboga....huwa nahonga vitu vikubwa kubwa tuuu...napenda sana sana kuhonga Aiseee haswa ukute ndo nimekufaa Aisee hadi salary slip nakupa uhakikishe....
 
Ninahonga kupitiliza.Mwanamke akiniomba pesa niko radhi nishinde njaa kuliko kumyima pesa.Niko radhi nikope, niko radhi niombe ombe ilimradi nimridhishe.

Juu ya yote kwa kupingwa vibuti ninaongoza.Kila siku naachwa licha ya kuwa nina huruma.Sijui nimerogwa, yani vijicenti vyangu vyote vinakwenda tu.
Miss Natafuta mrukie hewani naona huyu yuko simple sana
 
Sawa uje inb

sawa uje inbox ila samahani mimi huwa sihongi za mboga....huwa nahonga vitu vikubwa kubwa tuuu...napenda sana sana kuhonga Aiseee haswa ukute ndo nimekufaa Aisee hadi salary slip nakupa uhakikishe....
Acha maneno hebu rusha sasa hivi ka laki mbili kwenye 0625763405
 
Umeharibu sana sana Aiseee usiweke namba hapa banaaa hata hamu ya kurusha imeisha kwasababu naweza kupata upinzani Mkali....nitumie ile ya tiGO Bana aachana na hii halotel...nitumie inbox jaribu uone miujiza ya Tatu Mzukaaa....
BUT Next time mimi huwa napenda kutuma kwa A/C No ya Exim au Standard...but you can text me haina shida...
 
Hahahaa visingizio .com[emoji23] [emoji23] we shida nini hebu rusha huko tigo sina. Usiogope ushindani sio kila mtu ana kipaji cha kuhonga
 
Back
Top Bottom