Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

Ukiona unahonga kupitiliza ujue unazo hela za kupitliza pia
 
anza kutumia pombe;mwisho wa siku utajikuta huna pesa za kuhonga;kama kuhonga kuna kuuma;kuwa na anasa zaidi ya moja ili moja isikuchukulie mda.
 
Una kipato kikubwa ndicho kinapelekea kuhonga usingekuwa nacho ungehonga nini? Kumbuka uzinzi ni hatari kwa pato lako
 
Ninahonga kupitiliza.Mwanamke akiniomba pesa niko radhi nishinde njaa kuliko kumyima pesa.Niko radhi nikope, niko radhi niombe ombe ilimradi nimridhishe.

Juu ya yote kwa kupingwa vibuti ninaongoza.Kila siku naachwa licha ya kuwa nina huruma.Sijui nimerogwa, yani vijicenti vyangu vyote vinakwenda tu.
Ushamba tu huo..!
 
Back
Top Bottom