una umri gani kwanza umeandika kitu ambacho hakieleweki picha za uchi au picha gani hizo .
Wana jf mimi nimeolewa naishi na mmewangu sasa kuna kaka ambae alikua rafkiyangu kabla sijaolewa sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kilasiku anaongeua pics naomba ushauri wenu
delete google+ au muondoe kwenye network yakoWana jf mimi nimeolewa naishi na mmewangu sasa kuna kaka ambae alikua rafkiyangu kabla sijaolewa sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kilasiku anaongeua pics naomba ushauri wenu
m-block huko google+ unasumbuka nini?
Picha za kawaida sio za uchi
hata mie nashangaa
BTW, google+ is not a good thing kabisa