Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.