Ninahitaji starlet au vitz iliyo kwenye hali nzuri, nina milioni 4

Lbda kama hii..........

images
 
kwa hiyo mil 4 bora ukanunue ngombe wa maziwa ufuge mkuu sababu hutopata gari iliyo kwenye condition. lakini kama wewe haja ni BORA gari aina ya starlet au vitz usijali utapata kwa hiyo hela na hata kurudishiwa change
 
Back
Top Bottom