Ninahitaji msichana mrembo mwenye sifa hizi

Status
Not open for further replies.
Hello warembo wa jf;
Ninahitaji rafiki wa kike mwenye sifa hizi;
1. Mkweli
2. Mwerevu....mwenye upeo mkubwa wa maisha.
3. Aliye tayari kuwa na uhusiano wa kimapenzi
4. Yuko tayari kupima afya nk

Sifa zangu
1. Mrefu mweusi na mwembamba flani
2. Rangi ya kiafrika
3. Nikipenda..najua kupenda kupitiliza
4. Nina upeo wa mambo mengi ya kimaisha
5. Rijali haswaa

Majukumu yangu
Nitakutunza kwa kila kitu

Mwenye uhitaji aje pm na mzaha sitaki, dume usi pm situmii mtandao 071
Endapo hutakidhi wala usikate tamaa kila mtu na chaguo lako na ya pm yabaki pm.
Ngoja nije pm tuyajenge
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom