Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
Umesoma kilomita ngapi?weka wazi!
hahahahahaha kwani yeye gari?
Umesoma kilomita ngapi?weka wazi!
hahahahahaha kwani yeye gari?
Weka picha.....kazi unafanyia wapi ...uko mkoa gani
unaishi wapi?[/QUOTE]
mi mwenyewe natafta mke wa kuoa kaz yangu mwl nipo tukuyu mbeya cna vgezo wala mashariti kwa aliye tayari ni pm
Hivi nyie wawili, mmesoma maelezo ya huyu dada kuhusiana na hapo nilipo bold?
Au mmekurupuka tu na kutoa ya moyoni
Kwanini unaogopa kupata wa kanisani,mtaani,kijijini kwenu au ndio washamaliza mchuzi?
Nafikiri Hapa Papatiwe JIBU.Wajanja WAMESHAFONZA UTAMUKisendi said:Huyu anatuzuga.kama anamtoto je ni mjane
kapoteza sifa.1. mchaga
Ww tafuta wa huko huko tky na dar wapi na wapi unafikr atakubal kuna kuishi huko?mi mwenyewe natafta mke wa kuoa kaz yangu mwl nipo tukuyu mbeya cna vgezo wala mashariti kwa aliye tayari ni pm