Huyu masharti mengi sana sijui na sisi tukiweka masharti na mavigezo itakuajeMwenye shida hachagui
Inamaana mpka umefikisha miaka 25 hujawahi kutongozwa,na huyu aliyekuzalisha kwanini usiishi naeMimi ni msichana
Nna miaka 25,mkristo(RC),mchagga
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna mtoto mmoja
Sifa:
Awe na umri kati ya 29-35
Awe mkristo
Awe ameajiriwa/amejiajiri
Mwenye hofu ya Mungu
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Hardworker
Elimu kuanzia form six na kuendelea
Asiwe mfupi sana
Tuwasiliane kwa pm
NB: wale wanaodharau dada mwenye mtoto please save your comments.
Shukrani..
Mambo?Kila la heri best
Mwanao ana umri gani?Mimi ni msichana
Nna miaka 25,mkristo(RC),mchagga
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna mtoto mmoja
Sifa:
Awe na umri kati ya 29-35
Awe mkristo
Awe ameajiriwa/amejiajiri
Mwenye hofu ya Mungu
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Hardworker
Elimu kuanzia form six na kuendelea
Asiwe mfupi sana
Tuwasiliane kwa pm
NB: wale wanaodharau dada mwenye mtoto please save your comments.
Shukrani..
PoaMambo?
Nyie dada zangu wa kichagga mna madoido sanaMimi ni msichana
Nna miaka 25,mkristo(RC),mchagga
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna mtoto mmoja
Sifa:
Awe na umri kati ya 29-35
Awe mkristo
Awe ameajiriwa/amejiajiri
Mwenye hofu ya Mungu
Kama ana mtoto asizidi mmoja
Hardworker
Elimu kuanzia form six na kuendelea
Asiwe mfupi sana
Tuwasiliane kwa pm
NB: wale wanaodharau dada mwenye mtoto please save your comments.
Shukrani..
Haaaa haaaaaa, wafupi ni sheeedah.Ahahaha....amesema asiwe short chassis .....(mfupi)
Wewe hiyo "M" yako haijatumika?Kumbe una mtoto? Basi that thing "K" is too much used so im not interesting.....