HeisenbergJr
Member
- Aug 17, 2015
- 38
- 13
Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini nk,lengo langu ni kununua kutoka kwa mmiliki wa Gari husika na sio Dalali.
Brand Ikiwa Toyota Itakua Vyema Sana
Budget ni 5.5 M
Itakua vyema kama Gari Itakua ipo Dsm
N.B
Nahitaji kutoka kwa Mmiliki na Sio Dalali maana Wana Overprice
Brand Ikiwa Toyota Itakua Vyema Sana
Budget ni 5.5 M
Itakua vyema kama Gari Itakua ipo Dsm
N.B
Nahitaji kutoka kwa Mmiliki na Sio Dalali maana Wana Overprice