selukeng'e
Member
- May 11, 2015
- 10
- 24
Ukianza kujitegemea - kodi, chakula, usafiri... vitaku-keep busy sana. Hautakuwa na muda wa kufikiria mambo yaliyo juu ya uwezo wako. Sasa hivi unao muda kwa sababu ya kula na kulala kwa mama na baba.
Hela ndio KILA KITUU..Cha msingi kabisaaaaa tafuta hela.
Kibamia na hela ni kulwa na doto.