Habarini za humu JamiiForums ....Kwanza kabisa nitoe angalizo sihitaji matusi au kejeli...
Ipo hivi mimi ni kijana umri wangu miaka 25 ni mhitimu katika chuo Kimoja hapa hapa Dar es Salaam.Shida yangu kubwa ni kwamba ninahisi ninatatizo la kisaikolojia hii ni kutokana na vitu ambavyo ninavipitia katika maisha yangu..wakati bado nipo chuo huwa kuna hali ilikuwa inanitokea hali hiyo naona inaniletea madhara katika maisha yangu yaani ipo hivi kuna mtu mmoja jinsia yangu kabisa ila ilikuwa yaani ninamuadmire sana kiasi kwamba unakuta ninamfatilia au ninamfikiria kimsingi mimi ni rijali kabisa ila hii hali inanishangaza Kwann nisiwe na time ya kufikiria sana watoto wakike then niwe namfatilia au kumfikiria mtu ambaye hana mpango na mimi au hakuna chochote kitakacho endelea hata kama nikiwa nae karibu...Yaani ilifika time nikamfollow kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuchat nae yaani basi tu..Hadi namba yake ninayo ila ninachojiuliza kwanini nihisi hivyo au nina nn....Naombeni ushauri au kama pia kuna mtu wa saikolojia anisaidie.
Asanteni
pole mkuu ila unatatizo moja la kisaikolijia kitaalamu linaitwa HOCD(Homosexual Obsessive Compulsive Disorder ) hii ni hali amabayi.
Kama inavojeleza hapo juu ni mawazo ambayo saa zingine huwa yanamtokea mtu either wa kike au wa kiume una jijadili mwenyewe kama uko sawa upande wa sexuality.N kama invojisema yenyewe ni ''obssesion'' maana yake ni mawazo yasiyohitajika au yanakuja tuu from nowhere kizungu wanasema ''unwanted thoughts''kwamba unaweza kuwa na tatizo katika hiyo idara ila kiukweli ni mawazo tuu ya ubongo kuna vitu vinakuwa haviko sawa.
Pia kuna hali amabayo we mwenyew muhusilka unakuwa unajihisi kama watu wanakuonatofauti au mwenyewe unahisi kuna utofauti wa mambo fulani fulani hali kama hii ni udhaifu wa ubpngo kutokana na hali fulani amabayo uko nayo.
pia watu wenye matatizo kama haya huwa na dalili kama zifuatazo
1.kuogopa kujichanganya na watu wa sex yako
2.kama ni mwanaume unaogopa kukaa na wanawake kuhisi labda unaweza kuonekana tofauti
3.kuepuka eye contact na watu
4.kujihsi kuna mabadiliko yanatokea mwilini mwako
Sasa hii hali inasababishwa na vitu vifuatavyo
1.kuwa mpweke kwa muda mrefu sana
2.kuangalia porn mara nyingi
3, stress
4.kutokujichanganya kwa aina yoyote ile
n.b kunatofauti kati ya haya mawazo na kuwa shoga kabisa haya ni mawazo tuu ambayo yanasabibishwa na udhifu wa ubongo labda kutokana na porn nyingi ulizo angalia ila kuwa shoa ni kufurahia kuwa na kushare sex acts kwa mwanaume mwenzio mfano kupenda kushikwa mkono na mwanaume mwenzio na wewe unafurhia huo ni ushoga.
Njia za kujitoa katika hii hali
1.kama unaweza kuwa na mwanamke kuwa naye au tafuta
2,acha kuangalia porn
3,jichanganye tena sana na wanaume piga story, kunywa kidogo hata ukipata marijuana inasaidia sana maana ina sawaziha akili
4.kama unafanya kazi concetrate na kazi yako
na kubwa na muhumu puuzia fact kama unajiona hauko sawa wewe uko sawa ni ubongo ndio umekwama mahali pia unaweza ku google hii itu ukapat akueleewa zaidi