Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Madogo wanapenda slope sana. Yote yanawezekana
Ha ha ha dah, hv African morals zetu zimeenda wapi? I real wish yale mambo ya jando yarudi. Mwanangu asikaribu nitakata hiko kinyeo. Ila hawa baba wadogo, wajomba na kaka wanatuharibia sana watoto manyoko. Hata mahausigel wanaharibu vitoto. Kiufupi dunia imekua jalala

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi umeandika kuwa una WIVU nahisi ndio tatizo huyo mshikaji wako yuko sawa kujitenga na watu wenye wivu.

Huu Uzi unatosha kuelezea Kariba ya mtoa hoja
 
Kuna namna Waafrika tuna Unafikii wa hali ya Juuu ikiwemo hili la Kutokuambiana ukwelii kuhusu mambo flani ukihisi yanaenda sivyoo ndivyoo kwa kudhani sio Wajibu wetu kwa marafiki zetuu...

Ushaurii Siku mtegee tu jamaa mwambie oyaa mzee dili zako za maana sana na mimi nataka nitobboe nipe Hint bhasi nifanyajeee..??? Kama anafanta jambo sahihi ni rahisi ila kama ni Ilegal hatakwambiaaa.. Mtu hajaajiriwa...hafanyi kazi yoyote unaonaa ana Mahela wew hata kuhoji huwezi hicho ndo Kitu wazungu wametushinda piaa..
 
Shida ni roho mbaya , tunatabia ya kupimia kiwango Cha maisha , huyu ni wachini, akinuka kidigo vimaneno oooh shoga, ooooh pesa za kichiwi!!
 
Masugar mamy huwa hawahongi namna hiyo tena kwa haraka.

Wanaume ndio tuna kariba hiyo ya kutoa vitu vya gharama hata kwa manzi mliefahamiana siku 2 tu.
Kwakweli kaa mbali na jamaa na kama ndo mlikua mnaishi geto moja akija we kalale hata gesti.
Kama sio kuliwa jicho, SIJUI.
 
Kama manar
 
Huenda ana jimama lenye hela au huenda anakula jicho la bottom au yeye anatoa
 
Kuwa makini siku hizi vijana ni wake za watu.
 
Au unaweza kukuta huyo jamaa asiye na kazi alafu anakula bata ndio huyu mleta mada alafu huyo tunaeambiwa mlabata hana kazi ndio huyo jamaa anayemuepuka mteta mada. Uwenda kaleta mada hii ili aone jamii inamchukuliaje mtu mlabata asiye na kazi
 
Hivi ikitokea mwanaume anaomba achakatwe, si na yeye anaweza kutaka amchakate mchakataji pia? Je, mchakataji atakaa wakati wapo chumbani na kaishamchakata mwanaume mwenzake?

Binafsi naona, unaweza kuwa mchakataji, mwisho wa siku ukachakatwa. Dawa, ni kukaa mbali na hayo mambo ya kuchakata wanaume, kwa sababu unaweza kugeuzwa pia!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Katika hayo macho matatu kuna jicho moja linatumika sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…