Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Ili mradi avunji sheria za nchi..muache kijana atumie..na Kama hisia zako zinakutonya ukae mbali nae Basi fanya hivyo
 
Mliwa au mlaji au chawa beware
 
huyo jamaa alikuwa genius
 
Nimefatilia comments za watu kuhusu Historia yako huko nyuma...Kwani kama umeamua kujitenga na Huyo mwana mpaka na sisi tujue!..Ila mradi Mwana ameamua kutumia tundu yake kwa faida.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tundu tenaaa
 
Mtu asiekuwaa na Kazii na hata wazazi wake hawana uwezooo alafu akawa anaishi maishaa ya juuu... Obviuos kuna kitu cha haramu anafanya nyuma ya paziaa kwa haya maisha ya bongo ngumu sanaa yanii
 
Mtu asiekuwaa na Kazii na hata wazazi wake hawana uwezooo alafu akawa anaishi maishaa ya juuu... Obviuos kuna kitu cha haramu anafanya nyuma ya paziaa kwa haya maisha ya bongo ngumu sanaa yanii
Watu watamshangaa tu jamaa, ila pesa ni ngumu sana rikiboy ku survive mjini na kula bata sio kimasihara aisee.. mimi instict ikishani alert huwa sijiulizi mara mbili
 
Hakuna Cha haramu ,App nzuri ya kuwekeza na iko playstore na rate ya 4.9* ,kwa walio serious join njoo pm nikupe muongozo nb tumia Vodacom number... Vue App



 
Anaweza kuwa analiwa au anakula.
Kuna matajiri wana hela za masharti:- ili ziendelee kuwepo inabidi aliwe, inawezekana kuna tajiri analiwa
 
U N A W A S H W A

Wapemba walivokaa na wachaga walisema "Chuki huzaliwi nayo,, ila unajikuta nayo ukubwani"

Wewe sasa unaogopa usichokijua,, Fear of unknown,,, kwani kuna ulazima wa wewe kujua dili anazopiga mwana..?? ukijua itakusaidia nini..?? Je unahisi wewe kwake ni rafiki wa karibu kama unavofikiria...???

Yajue ya kuzingatia mkuu,,,Mjini hapa kuna madalali wana connect deals kubwa na wakipata 10% yao unaweza kuta ni mshahara wa miaka 5 ya mwalimu...

Acha kumuwazia mabaya mwana,,, kuonekana hotel sio utajiri.. huenda anapewa Offer tu then ana show off...
 
Wagalatia 6:1-10 BHN

Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, nyinyi mnaoongozwa na Roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa. Saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo. Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.

2 Wathesalonike 3:15

Lakini msimtendee mtu huyo kama adui, bali mwonyeni kama ndugu.

Marko 4:22 BHN

Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa.


Wagalatia 5:16-26 BHN

Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia
 

Mmmh sio udalali nakataa
 

Sawa mtumishi
 
Rejea yule tapeli wa Nigeria na kujitanua kwake katika mitandao ya Kijamii. Isijekuwa na hayo hayo anayofanya huyo mwana. Ila mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Sasa unafuatilia maisha yake ili iweje je angekuwa anakuomba hela ingekuwaje?si ndio unge mripoti kwa Sirro??mambo ya kitoto hayo hapa ni mjini mzee baba takecare kuna baadhi ya mambo usipende kuyafuatilia kwa watu utajikuta mtaroni.
 
Bongo nyoso kama vipi nawewe kafanye hiyo haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…