Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

umeongea jambo zuri litakusaidia likitokea lolote wanadili na wewe jinsi polisi wetu walivofundishwa mwaka 1935 kabla ya kumpata.

Kuna kisa kimoja jamaa alikuwa anapenda kula bata na washikaji zake kumbe kazi wanazofanya ajui basi siku polisi wanawatafuta wakadakwa naye.walikuwa watu wabunduki uzuri wale majaa waka mkataa sio wao na wala hausiki ndio ponea ponea yake ila walimtengua kiuno.
 

Unaona mkuu
 
Yule ana pakuliwa tako na manyangumi babu kaa nae mbali ipo siku ata kushawishi ufukuliwe mfereji na manyangumi shauri yako
 
Sio mbaya kuwa na wasiwasi nae ila ni kwamba tu kwa sasa pesa inapatikana kwa njia nyingi mno na sio zote ni haramu au halali bali kuna nyingine pia zina aibu ndani yake pengine ndo maana hawezi kukuambia, zingine ni rahisi ila hataki tu kukuambia maana atakupa connection so, ni wewe ku-play part yako tu maana hata kama ni haramu wewe haitokuhusu. Mwisho kabisa ACHA WIVU.
 
Kijana kwa thread zako za nyuma,n'a wewe ni mchele mchele wanakukula kisamvu
 
Excuse him if his drink right now is your rent.
 
Kota moja.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nimeipenda
 
Usijekuta ameamua kuwa bwabwa la watalii wazungu huko mahotelini!!!
 
Kwan huyo mwarabu aijui pornhub?
 
Kuna mwana tulikuwa naye mitaa ya kigogo Luhanga...
Yule jamaa akahama koz alikuwa anakaa na mama wa kambo amabye alikuwa anamtesa akahamia kinondoni....siku nimekutana naye baada ya miaka kadhaa alikuwa nywele kaweka dawa....anavaa kama wakongo...Sasa ukijimlisha na mambo ya kinondoni na alikuwa na mwili wa nyama nyama hivi..watu wakamzushia kuwa ni shoga. Sasa sijui yeye alichukuliaje...sisi tuliyekuwa naye tunafahamu hakuwa na hayo mambo utotoni kabisaaaaa..

Akawa kuna baa anapenda kuja kunywa pale mtaani ile mambo ya kuweka heshima baa...tena ya mtaani alipokulia...baada ya miezi kama nane ile baa ikapigwa tukio na majambazi....hakuna aliye mdhania mshkaj hata kidogo....

Mwaka 2018 nakutana na mwana tuliyekuwa wote utotoni ktk maongezi akaniambia mshikaj alishawai kumfuata na kumshawishi waingie ktk ujambazi na wa kutumia silaha za ncha kali.
Nikaja unganisha matukio kuhisi inawezekana jamaa aliona kitu cha kujifichia ktk uovu ninkuonekana kama shoga shoga kumbe ana ficha mambo fulani.

Kuwa makini na huyo jamaa inawezekana anachokuonesha ndicho anachotaka ukiamini.
 
To much details...
 
Acha umama ww!!kwahyo unataka aendelee kuwa maskin tu ili uwe unamlipia hizo bills?? Ukiendelea kuwa na tabia hizi utakua mchawi
 
Hii kama kuna Mama mmoja nae nilikua nafahamiana nae, hali yake ilikua si nzuri kiuchumi.... hadi Kodi wakati mwingine kwake ilikua changamoto, mara ghafla mambo yakabadilika..... kanichosha zaidi kuna siku aliniuliza HIVI NI WAPI NAWEZA KUPATA RAMANI YA GHOROFA 3 nikaona kweli sio poa maisha, huyu aliyekua hata Kodi ya Chumba chake kinamshinda leo hii anaulizia RAMANI YA GHOROFA 3 AJENGE!!!!!! Ila kikubwa kila Mtu na maisha yake nikaamua nipite kivyangu
 

Hahahha Mbona kwa wanawake fresh tu mkuu,anauza nyapu.
 
Ngoja nikwambie kitu mzee.. wasikudanganye sijui una wivu, sijui nini, trust sana your insticts, huwa hazidanganyi. Pesa ni ngumu mno mtaani kwa sasa hivi, yaani ngumu mno hizo hela za bata, simu macho matatu kwa kipindi cha muda ulioandika sio rahisi kuzipata hivyo bila kazi ya halali inayoonekana (japo na kwa hali ya biashara sasa hivi aio rahisi pia) watafutaji naamini wananielewa

kama sio mambo ya kishenzi kajiingiza basi unga.. kuna mstari mwembamba sana kati ya hayo na vijana sisi kwa sasa hvi.. narudia trust your insticts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…