Strong woman ni yule anayeoekana weak machoni pa jamii na mwanaume wake.
Wanawake wanaaminishana srong woman ni yule ambaye ababishwi na mwanaume yaani ana hela,kazi,cheo,kiburi yaani hana shida sasa type hii uwaga ni strong nje halafu moyoni stress tupu.
Wewe ulipata strong woman,mwanamke mwenye uwezo wa kukuheshimu,kukusamehe,kukuvumilia wewe na upuuzi wako wote sasa tatizo lako hukujua kwamba una mwanamke mwenye nguvu ukawa unachukulia easy tu,wakisepaga hao ujue ndo kimoja na manung'uniko yao kiasi flani yanafika kwako sababu wanapenda kwa moyo wote..
Ungekutana na hawa wanaojiita strong woman na ndani dhaifu hiyo mikosi isingekupata manake kwanza wasingevumilia pili wana kibri kwahiyo mwanaume tyr unakuwa ushaona huyu hafai na plan B unakuwa nayo,no guilt no mikosi.
Ogopa ku date wanawake wanao appear weak ukifanya ungese wanakusamehe au wanakuvumilia,type hii wana nguvu flani hivi ambayo haionekani lakini ipo