Ninahisi karma inanitesa (true story)

Ninahisi karma inanitesa (true story)

Kanuni ni rahisi.

Watu wawili mkipendana, mkiachana, aliyempenda mwenzake zaidi atakua malaya.

Wewe ulimpenda yeye zaidi ndiyo maana umekua malaya ukitafuta replacement yake.

Unazuga kusema binti anataka mahusiano ya siri na wewe hujui ufanyeje.
Sawa kwa kanuni yako
 
Badala ya kuitatua Karma inayokutesa sasa hivi unatafuta Karma nyingine.

Nakuhakikishia, ukimgonga huyo Mke wa Kibopa kwa siri, Mkeo naye atakuja kugongwa Mara nyingi kwa siri.

Malizia tatizo ulilonalo. Usijatufie matatizo mengine.

KARMA IS A BITCH.
Siwezi Fanya upuuzi huo mkuu nmekoma
 
Kama ameshaolewa achana naye, hata nafas usimpe tena kaa nae mbali japo najua hutaweza

Jipe muda usiingie kwenye mahusiano yoyote hayo ulokua waingia ni rebounce relationships tulia tafta hela jipende lakini mahusianoni usiingie subiri had pale akili yako na moyo wako vitakapokua tayar kupenda tena waweza penda tena
 
Kama ameshaolewa achana naye, hata nafas usimpe tena kaa nae mbali japo najua hutaweza

Jipe muda usiingie kwenye mahusiano yoyote hayo ulokua waingia ni rebounce relationships tulia tafta hela jipende lakini mahusianoni usiingie subiri had pale akili yako na moyo wako vitakapokua tayar kupenda tena waweza penda tena
Nashukuru ushauri mzurii naufanyia kazi kwa kweli siwezi kua nae tena
 
Hii sio issue ya kuomba ushauri, Mr. Graduate. Just fanya maamuzi ya kuoa. Hapa hakuna cha karma wala nini
 
Strong woman ni yule anayeoekana weak machoni pa jamii na mwanaume wake.

Wanawake wanaaminishana srong woman ni yule ambaye ababishwi na mwanaume yaani ana hela,kazi,cheo,kiburi yaani hana shida sasa type hii uwaga ni strong nje halafu moyoni stress tupu.

Wewe ulipata strong woman,mwanamke mwenye uwezo wa kukuheshimu,kukusamehe,kukuvumilia wewe na upuuzi wako wote sasa tatizo lako hukujua kwamba una mwanamke mwenye nguvu ukawa unachukulia easy tu,wakisepaga hao ujue ndo kimoja na manung'uniko yao kiasi flani yanafika kwako sababu wanapenda kwa moyo wote..

Ungekutana na hawa wanaojiita strong woman na ndani dhaifu hiyo mikosi isingekupata manake kwanza wasingevumilia pili wana kibri kwahiyo mwanaume tyr unakuwa ushaona huyu hafai na plan B unakuwa nayo,no guilt no mikosi.

Ogopa ku date wanawake wanao appear weak ukifanya ungese wanakusamehe au wanakuvumilia,type hii wana nguvu flani hivi ambayo haionekani lakini ipo
 
Amani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nipo chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mimi kumuoa sasa kimbembe nilipofika mwaka wa 4 chuoni tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakini nikakataa nakumbuka alikua akipiga simu usiku wa manane nikipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.

Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna siku nilimtafuta yule binti tukawa tunapiga story nikamdokezea kuhusu alonambia kipindi nimembwaga akanijibu amenisamehe mana alishaolewa lakini anasema bado nipo moyoni mwake japo kaolewa na kibopa .

Sasa wakuu tatizo nililonalo ni kwenye mahusiano mapya yaaani sikai kwenye mahusiano napiga chini tuu mabinti wa watu bado ninahisi nina hatia kwa yule binti nilomfanyia nina hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
Ni Bora hiyo karma inayoku hunt Sasa kuliko iyo itakayokuja ya kutembea Na mke wa mtu mkeo akagongwa mpaka Na vichaaa
 
Sasa kama mligombana ndio mkaachana...! Unauhakika gani kama wewe ndio mwenye kosa? Au umeshindwa kujieleza tukuelewe?
 
Back
Top Bottom