Ninahisi karma inanitesa (true story)

Ninahisi karma inanitesa (true story)

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,548
Reaction score
2,699
Amani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nipo chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mimi kumuoa sasa kimbembe nilipofika mwaka wa 4 chuoni tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakini nikakataa nakumbuka alikua akipiga simu usiku wa manane nikipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.

Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna siku nilimtafuta yule binti tukawa tunapiga story nikamdokezea kuhusu alonambia kipindi nimembwaga akanijibu amenisamehe mana alishaolewa lakini anasema bado nipo moyoni mwake japo kaolewa na kibopa .

Sasa wakuu tatizo nililonalo ni kwenye mahusiano mapya yaaani sikai kwenye mahusiano napiga chini tuu mabinti wa watu bado ninahisi nina hatia kwa yule binti nilomfanyia nina hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
 
Amani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe .
Nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nko chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mm kumuoa sasa kimbembe nlipofika mwaka wa 4 chuon tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakin nikakataa nakumbuka alikua akipiga cm usiku wa manane nkipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.
Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna cku nlimtafuta yule bint tukawa tunapiga story nkamdokezea kuhusu alonambia kipindi nmembwaga akanijibu amenisamehe Mana alishaolewa lakin anasema bado npo moyon mwake japo kaolewa na kibopa .
Sasa wakuu tatizo nlilo nalo ni kwenye mahusiano mapya yaaan ckai kwenye mahusiano napiga chin tyuu mabint wa watu bado nnahisi nna hatia kwa yule binti nlomfanyia nna hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
Kuwa nae tuuu kisiri
 
Jipe muda kidogo nje ya mahusiano tumia muda huo kufanya reflection ya attitude yako kwenye relationships kama unataka kubadili chochote kwenye maisha yako, anza kwa kubadili attitude yako.
 
Si uache kuwapiga chini kumbe mwanzilishi wa tatizo ni wewe.Mi nilijua unapigwa chini
Mkuu nahitaji kua na mahusiano ya kudumu kisha ndoa sasa hii acha acha inaniumiza nahisi kuna kuvu isiyo ya kawaida inasababisha
 
Kuwa nae kisirisiri,ila ujue kuna unaweza kupatwa na chochote kwasababu hadi sasa jamii haikubaliani nakutembea na mke wa mtu,badala yake wengine wamekua wakitafuta vijana ili wawabake nakurekodi halafu video zinasambaa.
 
Amani iwe kwenu wanajukwaa,,
Kwanza nianze kwa kuweka wazi hii ni true story achana na zile za achinua achebe .
Nilikua kwenye mahusiano na mdada mmoja kwa muda wa miaka mitatu wakati nko chuo huyo binti alinipenda sanaa na alikua na matarajio ya mm kumuoa sasa kimbembe nlipofika mwaka wa 4 chuon tukakorofishana nkampiga chini alilia sana alituma marafiki zake lakin nikakataa nakumbuka alikua akipiga cm usiku wa manane nkipokea analia kipindi hicho alikua kwao lakin ckua tayar kua nae tena ila nakumbuka neno la mwisho aliniambia chlorine gas nakupenda sana japo inaonesha dhahiri hunipendi ila nna kuhakikishia kama utakuja kuoa sio mimi.
Sasa yapata miaka 4 wakuu nakua kwenye mahusiano lakini yanakua na changamoto nyingi sana kuna cku nlimtafuta yule bint tukawa tunapiga story nkamdokezea kuhusu alonambia kipindi nmembwaga akanijibu amenisamehe Mana alishaolewa lakin anasema bado npo moyon mwake japo kaolewa na kibopa .
Sasa wakuu tatizo nlilo nalo ni kwenye mahusiano mapya yaaan ckai kwenye mahusiano napiga chin tyuu mabint wa watu bado nnahisi nna hatia kwa yule binti nlomfanyia nna hisi karma inanitesa na hadi hivi sasa yule binti tunawasiliana na anataka tuwe wote kisiri siri naombeni ushauri wadau nifanyeje hii karma niepukane nayo
What goes around comes around.
Pole sana mkuu.
 
Kanuni ni rahisi.

Watu wawili mkipendana, mkiachana, aliyempenda mwenzake zaidi atakua malaya.

Wewe ulimpenda yeye zaidi ndiyo maana umekua malaya ukitafuta replacement yake.

Unazuga kusema binti anataka mahusiano ya siri na wewe hujui ufanyeje.
 
Badala ya kuitatua Karma inayokutesa sasa hivi unatafuta Karma nyingine.

Nakuhakikishia, ukimgonga huyo Mke wa Kibopa kwa siri, Mkeo naye atakuja kugongwa Mara nyingi kwa siri.

Malizia tatizo ulilonalo. Usijatufie matatizo mengine.

KARMA IS A BITCH.
 
Jipe muda kidogo nje ya mahusiano tumia muda huo kufanya reflection ya attitude yako kwenye relationships kama unataka kubadili chochote kwenye maisha yako, anza kwa kubadili attitude yako.
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Kuwa nae kisirisiri,ila ujue kuna unaweza kupatwa na chochote kwasababu hadi sasa jamii haikubaliani nakutembea na mke wa mtu,badala yake wengine wamekua wakitafuta vijana ili wawabake nakurekodi halafu video zinasambaa.
Siwezi kua nae kbsa
 
Back
Top Bottom