mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 765
- Thread starter
- #21
Okay vizuri, utafikia jimbo/mji gani? Maana Nigeria ni kubwa na kila sehemu kuna mambo yake
Naenda Abuja kwanza, nafikiri kuna kwenda pia kwenye miji mingine na kurudi Abuja. ila kwa muda nitakuwa Abuja kwanza.