mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Wadau nawasalimu. Nimepata kazi huko, na naomba anayejua juu ya maisha ya huko na mengine yakunisaidia kuzoea nchi ambayo sijawahi kufika. Ni baada ya kukosa kazi hapa nchini ndio huko nimepata, nahitaji ujuzi wa kazi sana baada ya kukaa miaka minne mjini kwetu hapa Dar bila kazi nayopenda kufanya. Kama kuna mtu anayefahamu chochote cha furaha na kuwa makini najua kitanisaidia, natanguliza shukurani wakuu.