ninachoshukuru mingu nimejiandaa kisaikolojia

ninachoshukuru mingu nimejiandaa kisaikolojia

WARBOYy

Member
Joined
Mar 19, 2025
Posts
68
Reaction score
84
habari ndugu zangu...!?

ninachoshukuru nimejiandaa kwa lolote yani usipojiandaa hili tukio linaweza kukusumbua zaidi ya hata mwezi

hivyo nimejipanga kuhakikisha sisumbuliwi

anyway...! good luck to my club god help them to achieve their goal

thanks
 
Back
Top Bottom