Hapo kwenye heading ni 2025!!!.au ulimaanisha 2020?BORA ABAKI YULEYULE MWANAHIP HOP kuliko huyu CCM wamtakaye.
1.Ccm itaamua nini kifanyike Mbeya mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni.
2.Atakuwa spika kwa uchochoro wa
Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza. Vijana wa Mbeya mjini akiondoka Raisi wenu kama mnavyomwita hivi mnajua kitachofuata? Wakati wenu wakukaa kimyaaa ndio utakuwa umefika yaani kimya ninyi hadi msemaji wenu bungeni.
3.Tuombe Mungu Mjomba mwenyewe kwa hiyari yake aamue
ni jambo gani jipya la kimaendeleo ataamua alilete ndani ya Mbeya Mjini.
4.Mh. RAISI JOHN POMBE MAGUFURI nakukumbusha barabara ya kutoka njia panda KK rungwe TUKUYU kwenda ILEJE ni barabara KUU KWA SASA Kwani inaunganisha MKOA WA MBEYA NA SONGWE ila bado ni ya vumbi.
#Tafadhari ikumbuke naamini unatambua mchango wa masoko ya gurio la LUGOMBO NA IKUTI katika kuliingizia pato Taifa.
Asanteni.
Naibu spika yupo vizuri naamini atashinda
Atashinda
Atashinda au atatangazwa mshindi kwa amri ya yule mkuu wa vyombo vya dola?
Atashinda kiuhalali
Hiyo sio kwamba inajengwa na halmashauri ya jiji au mwekezaji binafsi😂😂 mkuu nani wakutupigia kelele bungeni.
tawile babaMkuu namaanisha 2025 wala sijakosea
kama alivyoshinda kihalali Mdee,Mbowe,Zito na wengine.Tulia nae atashinda,sugu apumzikeToka lini?
kama alivyoshinda kihalali Mdee,Mbowe,Zito na wengine.Tulia nae atashinda,sugu apumzike
acha ramli potofu tindo.acha hizo kaka.mbona huishi visingizio?Hakuna uchaguzi chini ya Magufuli, bali kuna uhuni wa wazi kwenye box la kura.
Tulia hapiti nimeona ka-umati kake kanasikitisha.Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye.
1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni.
2. Atakuwa spika kwa uchochoro wa Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza. Vijana wa Mbeya mjini akiondoka Raisi wenu kama mnavyomwita hivi mnajua kitachofuata? Wakati wenu wakukaa kimyaaa ndio utakuwa umefika yaani kimya ninyi hadi msemaji wenu bungeni.
3. Tuombe Mungu Mjomba mwenyewe kwa hiyari yake aamue
ni jambo gani jipya la kimaendeleo ataamua alilete ndani ya Mbeya Mjini.
4. Rais Magufuli nakukumbusha barabara ya kutoka njia panda KK Rungwe TUKUYU kwenda ILEJE ni barabara KUU KWA SASA Kwani inaunganisha MKOA WA MBEYA NA SONGWE ila bado ni ya vumbi.
#Tafadhari ikumbuke naamini unatambua mchango wa masoko ya gurio la LUGOMBO NA IKUTI katika kuliingizia pato Taifa.
Asanteni.
acha ramli potofu tindo.acha hizo kaka.mbona huishi visingizio?