sweet poison
Senior Member
- Aug 16, 2013
- 104
- 15
- Thread starter
-
- #61
Well, Nyerere alianzisha BAKWATA ambayo baadhi yenu hamridhiki nayo. Mwl.Nyerere ameshafariki kwa nini msianzishe hicho mnachokitaka badala ya kulalamika?! Mbona rahisi sana kuanzisha hizi jumuiya kama ile ya shekhe Ponda.
mkuu elewa mada,Labda nirudie mada,"BAKWATA NI YA NANI?,YA WAISLAM,SERIKALI AU???????.Toa hoja juu ya mada hii,ya kadhi tutaiwasilisha cku nyingine.
Nasikia na watemi kama kina Ntemi Chenge nao wanasema kuwa huyu mzee aliwafutilia mbali ili kulinda "mfumo kristu" afu eti Waitaliano wa hapa Tanganyika nao wanalia kuwa aliwanyang'anya shule zao ili wapagani na wale wa dini ya
"MNYAZIMUNGU" wapate nafasi ya kufuta maujinga yao! Leo kila mtu anamlaani huyu mzee lakini ndo yeye kawasaidia wengi mkajua hata kutumia kompyuta mpakato! Nyambaf kabisaaaa./
Serikali haijawahi kuwa na chombo cha kidini wala haitakuwa na chombo chochote chenye mlengo wa kidini,mkuu elewa mada,Labda nirudie mada,"BAKWATA NI YA NANI?,YA WAISLAM,SERIKALI AU???????.Toa hoja juu ya mada hii,ya kadhi tutaiwasilisha cku nyingine.
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.
Ushahidi upo eamws haikufa bali nyerere aliifuta akaanzisha bakwata na hoja yake ilikuwa finyu tu eti eamws inaongozwa na waarabu ndio akaanzisha bakwata inayoongozwa na mswahili
Serikali haijawahi kuwa na chombo cha kidini wala haitakuwa na chombo chochote chenye mlengo wa kidini,
Serikali haina dini na haita abudu popote pale zaidi ya bungeni tu
Hana busara yoyote ila kwakua ni mtu wenu najua mtamtetea sana
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
Mara nyingi watanzania hususani waislam tumekuwa ktk mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya waislam,serikali au???????.nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa ktk mikutano yake nanukuu"Bakwata ni tawi la Kanisa,"baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya Bakwata nikagundua kuwa mwaka 1968 ndio ulikuwa mwanzo wa Bakwata.Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.kwanini Nyerere aliivunja EAMWS?ni swali tuulizane mm na ww,alikuwa kama nani ktk taasisi za dini? nalo tuulizane.kiufupi Bakwata imekuwa ikipingana sana na waislamu waliowengi hapa nchini ktk mambo mengi yahusuyo dini kibaya zaidi inapingana hata na taasisi zingine za kiislam.nawaulizeni wadau BAKWATA NI ya nani?
Yule mwenye kashfa ya ushoga? hana cha uislam chochote zaidi ya maslah yake tu.
mwenye busara ni sheikh kundecha aliyekodi ma-fusso mpaka mtwara Ndanda sec kuwachochea wanafunzi wa kiislamu wasifanye mtihani wa taifa,,matokeo yake wamezuiwa kufanya mtihani wameambiwa warudie kuwalipia hela ya kurudia mtihani haonekani kakimbia watoto wanaangaika mitahani sasa...tutamwona tena kwenye maandamano ya kulaani matokeo yao mabaya,,utawasikia "Ndalichako lazima ang'oke atukubalii aya manyanyaso"
Utlivu wako nauwekea mashaka....Sijui sana kuhusu bakwata........lakini kitendo cha kusema eid ni j5 wakati wengine wanaswali j4........sio vizuri.......