Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa,
EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani,
Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir,
Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA,
Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu
Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha,
Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS?
Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?
Mi naona topic hii very simple kujibiwa,Swali la msingi nani aliwachagua Bakwata? Kwa kawaida viongozi kuwepo sehem huwapo na chaguzi either jopo la wawakilishi wa kila taasisi au wananchi kwa mmoja mmoja. Hili la Bakwata waislam wanalipigia kelele sana sababu hawajui kiongozi wao wa msikiti na kadhalika kuwakilishwa kny teuzi. Ni kundi la watu flan wanaamua kukaa na kupanga basi.kama ingefanyika chaguzi kama taasis zingine za dini msingesikia hizi habar za Bakwata kuchukiwa na waislam walio wengi. Ikiwa Imamu wa msikiti anafanyiwa uchaguzi vipi kuhusu kiongozi wa maimamu/Mufti? Only in Bongo.Tatizo ni pale unaposoma histohisia ya Mohamed Said (kama rejea kuu) halafu unajiridhisha kuwa umesoma rejea mbambali.
Soma na references zingine.
BAKWATA ni ya waislam period.
Hatuwezi kuwazuia watu wanaojipa mamlaka ya kuamua eti Abdallah na Hamis sio waislam kwa vile tu wapo BAKWATA. Baraza kuu la waislam Tanzania, ni Chombo cha waislam. Hutaki unaacha!
Naona pumba zingine leo umeamka nazo. Siamini kama mpaka sasa unaamini Rais anafanya lolote bila kufata kanuni za katiba au akideviate sna Ilani ya chama chake. Juzi uliongea madudu leo unarudia the same. JK wala Mwinyi hawawezi kuamua kuingilia suala ambalo linapingana na chama chao/katiba. Aliyeanzisha huu ukandamizaji ndo anabeba lawama na mpaka leo unaona Nyerere yuko mentioned sana.Na pia JK na Mwinyi hawakua madictator km Nyerere kwahiyo hawajiamulii wakiamka tu usingizin. Kajipange!Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa,
EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani,
Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir,
Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA,
Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu
Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha,
Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS?
Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.

Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
ndugu wakigombana chukua jembe ukalime ....wakipatana chukua kapu ukavune!!
Hana busara yoyote ila kwakua ni mtu wenu najua mtamtetea sana
Yule mwenye kashfa ya ushoga? hana cha uislam chochote zaidi ya maslah yake tu.Yule shekh anabusara sana na ndo kielelezo cha uislam ambao ulipaswa kuwa. Acha roho ya ugaidi.
Kafiri anawezaje kuunda chombo chenye maslah kwa Waislam?Tatizo ni pale unaposoma histohisia ya Mohamed Said (kama rejea kuu) halafu unajiridhisha kuwa umesoma rejea mbambali.
Soma na references zingine.
BAKWATA ni ya waislam period.
Hatuwezi kuwazuia watu wanaojipa mamlaka ya kuamua eti Abdallah na Hamis sio waislam kwa vile tu wapo BAKWATA. Baraza kuu la waislam Tanzania, ni Chombo cha waislam. Hutaki unaacha!
Nashukuru umeling'amua hilo. Hakika Makafiri wana chuki dhidi ya Uislam na waumini wake. baada ya lisaa limoja tayari Uzi utakua umeshaondolewa.Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
Kwani kwaulewa wako Mwenye Elimu mpaka atembee na vyeti mkononi? me nadhani mwenye Elimu niyule mwenyewe uwelewa wa jambo flani analo shughulika nalo kwa wakati huo. Ponda anaulewa wa mambo yote mawili (Sekula na dini) Kwahiyo huwezi kumbuluza ktk mambo hayo yote, tofauti na Simba, yeye anachujua qala rasulu llah, basi ukimpeleka upande wapili wa shiringi ume muacha hana anacho jua. Ndio sampuli ya viongozi wote wa Bakwata ambao Serkali ina wahitaji, mtu anashindwa kuhoji, kwanini wakristo wanapendelewa kwenye ibada tofauti na Waislam? (juma pili mapumziko, Ijumaa kazi)kwahio Ponda mnaemkubali ndio anaelimu ya kisekula; mufti simba hahaaaaaaa
Bakwata ipo kwa ajili ya kupingana na waislam wenye mrengo wa ugaidi.
Mkuu punguza lugha za kebehi, unalichafua jukwaa.
Kama Nyerere aliweza kuwaundia Waislamu wa Tanzania BAKWATA ambayo mamilioni ya waislamu wameshindwa kuifuta pamoja na kupata Marais Wawili waislamu baada yake,Sasa naamini Nyerere alikuwa Jembe na Wakatoliki wana Kila sababu ya kutaka kumtangaza saint(Mtakatifu).Naona pumba zingine leo umeamka nazo. Siamini kama mpaka sasa unaamini Rais anafanya lolote bila kufata kanuni za katiba au akideviate sna Ilani ya chama chake. Juzi uliongea madudu leo unarudia the same. JK wala Mwinyi hawawezi kuamua kuingilia suala ambalo linapingana na chama chao/katiba. Aliyeanzisha huu ukandamizaji ndo anabeba lawama na mpaka leo unaona Nyerere yuko mentioned sana.Na pia JK na Mwinyi hawakua madictator km Nyerere kwahiyo hawajiamulii wakiamka tu usingizin. Kajipange!
Nashukuru
umeling'amua hilo. Hakika Makafiri wana chuki dhidi ya Uislam na
waumini wake. baada ya lisaa limoja tayari Uzi utakua
umeshaondolewa.