You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?

Wewe kweli ni risk taker hahahaaah!!kwanza hutakiwi kutoka kabisa...unaweka mguu mmoja nje....
mwingine ndani....
then kisirisiri unatest na huku.....sasa ukiwa unatest usizame huko.....
kisha weka kwenye mizani....
chagua kwa kutumia akili na si kwa kutumia moyo wako....
alamsiki jamani
Kaunga nawe haya mambo kumbe yanakubabaisha....!
Kaunga !!!! yepi yamekusibu tena, unamuachilia baba watoto hvhv baada ya kumvumilia kote hukooo????
Au uko kwenye hali ya ngumu kumesa tamu kutema??? Pole sjui hata nikushaurije...........
Siku zote najuaga Kaunga hubabaishwi kweli mganga hajigangi
mnhhhhhhhhhh...........
Mmh, complicated aisee
Hizi 'semi' zinatumika kwa mazingira tofauti, ukitaka kuziweka pamoja hivi lazima urukwe na akili.
Ya kwanza inatumika pale unapokuwa huoni umuhimu wa mtu, siku akiondoka ndo unajua umuhimu wake 'the silence tells you he is gone'
Kwa usemi wa pili, ni pale unajiona umekamilika, hina haja na mtu, cha kushangaza from nowhere anakuja mtu na anayafanya maisha more interesting.
Ila ukiziweka pamoja zitaleta kachumbari.
Kuna mtu kaniambia hivi:
"never say goodbye if you still want try, never give up if you feel you can go on, never say you dont love a person any more if you cant let go"