Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Ni mwaka mmoja na nusu mmekua nae tena hamuishi naye nyumba moja, lakini mnalia kiasi hiki, piga picha kwangu ambaye nimeishi naye kwa zaidi ya miaka 20 sasa!
Kwani we ni mama J???Ni mwaka mmoja na nusu mmekua nae tena hamuishi naye nyumba moja, lakini mnalia kiasi hiki, piga picha kwangu ambaye nimeishi naye kwa zaidi ya miaka 20 sasa!
Kamaanisha nn .. M bdo npo njia pandaHahahah nimekuelewa Jomba..
Unamaanisha bwana yulee.!Ni mwaka mmoja na nusu mmekua nae tena hamuishi naye nyumba moja, lakini mnalia kiasi hiki, piga picha kwangu ambaye nimeishi naye kwa zaidi ya miaka 20 sasa!
hivi viroba bado vipo kwani?
hapo vipi hamjamjua tu bwana yule asiyeshaurikaKamaanisha nn .. M bdo npo njia panda
Mke wa baba ake bashite