Simba chai
Member
- Nov 24, 2025
- 83
- 71
Kama hajapelekwa Trump na Nyetanyahu basi Samia haendi popote.
Kwa akili yako ya shule za kata unadhani Samia ni sawa na hao uliowataja hapo?Kama hajapelekwa Trump na Nyetanyahu basi Samia haendi popote.
Mkuu kesi ya Netanyau iliendeshwa kwa haraka sana kwasababu waliofungua kesi walitaka uharaka huo.
Kesi dhidi ya serikali ya Tanzania imefunguliwa na makundi mbalimbali, kwa taarifa ya uhakika ni kuwa wameshaitaarifu mahakama ya ICC kuwa wao wapo tayari kuonesha ushahidi hivyo ICC wapange section.
Kibaya ni kuwa Serikali yetu inatimia kodi yetu vibaya kwa kuanza kununua mafia ili ianze kushughulikia hao wanasheria waliofungua kesi...taarifa hizi pia zimeshafikishwa ICC.
Ambao hatupo Tanzania hatujalala sana, tupo tunacheza karata vizuri...yale mataifa yanayoisaidia viongozi wa Tanzania kutaka kuchomoka kwenye hii kesi wanatoa terms ngumu sana ni sawa na kuitawala Serikali.
Ni patamu sana.
Let's hope soStay tuned
Kelele za chura tu hizo. Tokea mmeanza kupiga mikelele yenu hakuna ht mlichobadili kwenye utawala na ndo kwaaanza CCM wameamuq kuwafukuza kabisa kwenye uchaguzi wao. Wamewafungia chama chenu, wamemtia ndani Lissu wenu nyie mmebaki kulishana matango pori tu humu. Hebu kuweni na akili kidogo. Kwa mtindo wenu wa matusi na kutegemea wazungu mtasubiri sanaNani anamwombea mabaya huyo muuaji?
Kwani sie ndo tulimwambia aue ndugu zetu? Si yeye Wambura, Mombo na Mkunda ndo waliendesha hizo operesheni za kuuwa Watanganyika?
Si mwanae Abdul na Mkwewe Mchengerwa walioingiza hao mercenaries kupitia TISS waliotoka Uganda, Zanzibar na Burundi kuja kuwaua Watanganyika?
Kila mtu ale alikopeleka mboga! Ajiandae kutafuta mawakili wa kumtetea tu.
Mwaka ukiisha mrudi hapa tenaSi uwe mpole Hadi mwaka uishe tuone nani muongo
Stay tunedKelele za chura tu hizo. Tokea mmeanza kupiga mikelele yenu hakuna ht mlichobadili kwenye utawala na ndo kwaaanza CCM wameamuq kuwafukuza kabisa kwenye uchaguzi wao. Wamewafungia chama chenu, wamemtia ndani Lissu wenu nyie mmebaki kulishana matango pori tu humu. Hebu kuweni na akili kidogo. Kwa mtindo wenu wa matusi na kutegemea wazungu mtasubiri sana
Hayati Nyerere alikosea sana kufungamana na Ujamaa wa Russia na China. Amechochea taifa kuwa na wajinga wengi zaidi.Watatajana wote. Kazi yetu sie ni kuongeza kuni tu ili moto wake vizuri.
Walitudharau sana Wananchi hawa mbwa. Acha Mungu awaoneshe vizuri mwaka huu.
Mungu pia awabariki sana Wazungu hasa wa Ulaya na Marekani. Hawa ni watu wa maana sana kuwepo duniani.
Anajipa moyo, huku akiandika asichokifahamu kila siku.AHAAA AHAAA huwa unajipaga shida sana za kusadikika utakuwa umeshapata vidonda vya tumbo kwa kuomba na kufunga visivyowezekana, EBU OGA KULA VIZURI, KUNYWA KIASI HALAFU ULALE VIZURI NAHISI UNAUWA
Muache aendelee kuishi kwa matumaini. Hilo tatizo wanalo wanaharakati wengi.Vipi umeshindwa kuandamana kuitoa madarakani umebakiza kuapa mtandaoni?
Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba , andamaneni tena muone shwaini.
Hapo sasa umeongea kilicho moyoni mwako baada ya kuelewa kuwa wewe ni CHAWA mwenye uwezo mdogo kiakiliNASONONEKA MNO KWA IDADI ILE NDOGO YA WALIOSHUGHULIKIWA NAOMBA MUNGU WAJIMIX MARA YA MWISHO TU TUFUTE KIZAZI CHA MAJAMBAZI TANZANIA
Siku Ile tukiw karibu nilikwambia ukakasirika !!Una ELIMU ndogo na uwezo wakupambanua mambo huna .Hicho cheo unachokitafuta utapewa lakini hutodumu Kwa sababu ya uwezo wakoAnajipa moyo, huku akiandika asichokifahamu kila siku.
Stay tunedMuache aendelee kuishi kwa matumaini. Hilo tatizo wanalo wanaharakati wengi.
Kujenga hoja za taharuki ili aweze kulipwa pesa na mashirika ya kigeni.
Trump amemuua nani wewe kidampa wa CCM?Kama hajapelekwa Trump na Nyetanyahu basi Samia haendi popote.
Kuna tabia imeanza kuzuka ya Madikteta kuzima internet na kuanza kuua watu ili kuficha ushahidi.
Ilianza Tanzania alifanya Samia, ikaja Iran kafanya Ayatollah na juzi kafanya Museveni Uganda.
Anayetolewa mfano kuwajibishwa ili iwe onyo kwa Madikteta wengine wote ni Samia.
Wazungu achana nao kabisa.
Stay tuned.
Walilkuwa wengi na wangeumiza sana raia wema , kihalali wale walitakiwa kupigwa na RPG rapid shooting , yaaani kuwamwagia mvua sio kama vile mmoja moja , WALIONEWA HURUMA SANATupo kwenye demokrasia, maandamano ni form of expression na ni haki ya kila mtu.
Kwanini wasingetumia njia nyingine kama risasi za mpira na mabomu ya machozi? Na bado wakiwakamata wanawaua hapo hapo, kwanini wasiwaruhusu wajitetee kisheria?
Wenzetu waliostaarabika sio kwamba hawaandamani na kuchoma mali ila kuna utawala wa sheria na haki ya kuishi inaheshimiwa.
Huna hoja.
Wewe jifariji, sikitika tanzanite yote inaenda kuhongwa Kwa mabeberu na watamwachia huruHili ninalisema nikiwa na uhakika nalo wa asilimia zaidi ya 100.
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai( ICC) inaenda kutoa Hati ya Kukamatwa kwa Samia na watu kadhaa wa Serikali yake mwaka huu 2026 kwa matukio ya mauaji na kupoteza watu wakati wa uchaguzi na mengine kabla ya Uchaguzi.
Atakayekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiandae kuishauri Serikali kuhusu mustakabali wa Taifa baada ya jambo hili ambalo hakika linaenda kuitengeneza Tanzania Mpya.
Furaha yangu kuu ni kwamba, sasa rasmi, jambo pekee la kurudisha heshima ya Mtanzania linaenda kutimia na kuleta heshima ya kweli kwa wananchi wa kawaida wa Tanzania na kufanya Viongozi na Serikali wawaheshimu kweli Wananchi na kufanyia kazi matakwa yao ikiwemo Katiba Mpya iliyo bora linaenda kutokea kwa mara ya kwanza mwaka huu 2026.
Stay tuned.
Jiandaeni kueleza hayo ICC alafu subirieni matokeo yake.Walilkuwa wengi na wangeumiza sana raia wema , kihalali wale walitakiwa kupigwa na RPG rapid shooting , yaaani kuwamwagia mvua sio kama vile mmoja moja , WALIONEWA HURUMA SANA
ICC ni kijiwe cha kahawa kwa mabwege tu , siku hizi wakikuzingua unajitoa tu uanachama, Uanachama ni hiari na hiyo kesi nyepesi sana Majambazi walionekana kabisa kwenye video walivyokuwa wanavamia kuharibu na kukata vidole waliotoka kupiga kura , TENA JUDGE ANAWEZA KUOMBA MAFWELE NA AWADH wapewe tuzo ahaaa ahaaaa kwa kazi nzuri ,maaana hata diplomats walikuwa kwenye hatari wale majangili wangeachwa massaaa kadhaaa mbeleJiandaeni kueleza hayo ICC alafu subirieni matokeo yake.
RC. Hata Mfalme Daudi alipigana na Wafilisti na aliwaua. Na anaenziwa kama ndiye Mfalme wa WayahudiWewe ni dini gani unafurahia Watanganyika kuuawa kisa umepewa fedha?Laana na iwe juu yako wewe na uko wako na fedha ulizopewa ziishie kwenye matibabu .
Netanyau kaua zaidi ya elfu tisini, au kitarakimu ni 90,000/=Trump amemuua nani wewe kidampa wa CCM?
NITANYAHU na ukatili wake wote hajaua zaidi 2000.Huyu mama yako shetani kaua zaidi 10000 kisa madaraka.
ndugu TUI mbona umecheka namna hiyo? 😉😉😉Walilkuwa wengi na wangeumiza sana raia wema , kihalali wale walitakiwa kupigwa na RPG rapid shooting , yaaani kuwamwagia mvua sio kama vile mmoja moja , WALIONEWA HURUMA SANA