Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Hili ninalisema nikiwa na uhakika nalo wa asilimia zaidi ya 100.
Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai( ICC) inaenda kutoa Hati ya Kukamatwa kwa Samia na watu kadhaa wa Serikali yake mwaka huu 2026 kwa matukio ya mauaji na kupoteza watu wakati wa uchaguzi na mengine kabla ya Uchaguzi.
Atakayekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiandae kuishauri Serikali kuhusu mustakabali wa Taifa baada ya jambo hili ambalo hakika linaenda kuitengeneza Tanzania Mpya.
Furaha yangu kuu ni kwamba, sasa rasmi, jambo pekee la kurudisha heshima ya Mtanzania linaenda kutimia na kuleta heshima ya kweli kwa wananchi wa kawaida wa Tanzania na kufanya Viongozi na Serikali wawaheshimu kweli Wananchi na kufanyia kazi matakwa yao ikiwemo Katiba Mpya iliyo bora linaenda kutokea kwa mara ya kwanza mwaka huu 2026.
Stay tuned.