Ninaanza rasmi mgomo wa kulipa kodi

Ninaanza rasmi mgomo wa kulipa kodi

Umenikumbusha machungu, leo kuna dogo wamemkamata wameenda nae mnaz mmoja kosa halipi kodi ofis yenyewe hata laki mbili za mtaji haifiki ni saloon kiti elf40 vile vya kuunga, mashine ya kunyolea elf30, kioo 40elf na benchi la kukalia wateja wamemwambia kila mwenye frem lazima alipe kodi na kaambiwa alipe 155400,sasa sijui watampeleka polisi manake wameenda nae,swali langu lipo hapa kama wanaotakiwa kulipa kodi wanatakiwa wawe na mitaji ya ml4 hawa wasiofikisha mitaji hiyo hela zao zinaenda wapi?na kwanini wasifanye hivyo kama sheria yao inavyosema? manake pale hivyo vitu vinahesabika hata kwa kukisia tu unajua hapa hakuna hata laki 3 mbona tunaoneana hivyo?mkuu tuko pamoja sitolipa kodi ya aina yoyote na mengine ntakayofanya najua mwenyewe .

tatizo lugha
Mkuu simtaji wa milioni 4 unatakiwa mauzo yako yasizidi milioni 4 kwa mwakamzima, inamaana kama wewe kwa siku mauzo yako yanazidi 12000 unapaswa kulipa kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuandika unacho kiandika?

Unacho kitetea unajua kina madhara gani kwa Taifa na kizazi kijacho au kizazi chako?

Serikali kazi yake ni kuweka Usawa wa kimazingira na Kisheria, kujituma hizo ni juhudi binafsi.

Mwaka 1992 Barabara ya Mpanda sumbawanga watu walikuwa wanasafiri week nzima, wakiwa wamebeba vyakula, vyungu na viberiti na isitoshe watu wameliwa sana mbuga ya Katavi na Simba.

Sasa hivi ni masaa kadhaa ukivaa shati jeupe kutoka Mkoa wa Katavi mpaka Sumbawanga huchafuki Bado haya mnajifanya hamyajui!!? Inaniuma sana.

Inaniuma kwasababu mnapaka Serikali bure matope, changamoto zipo na haziwezi kuisha mpaka Yesu anarudi.

Kiufupi tulipe kodi ili vizazi vyetu vije kupiga Hatua zaidi, tuache Ubinafsi tufikilie wajao..

Binafsi pamoja na bangi zangu kichwani Naamini Baba Dr Mh Rais ni njia ya HAKI kwa watanzania wote, Mzee huyu ni wa kumpa Moyo maana akiwa na kinyongo ni Lahana kwetu.

Tulipe kodi ndugu zangu...... Tulipe kodi... Faida moja ya kodi zetu ni Maisha haya tulio nao leo.. Unafikiri kama wazee wetu wasinge toa Kodi ya kichwa ungekuwa na kiburi iki ulicho nacho?

Mungu akupe Maisha marefu Rais wangu, sina Elimu Sina cheo ila najua thamani ulio tupa kutoka katika fikra zako zenye nuru na Baraka kutoka kwa Mungu.

Naipenda Nchi yangu sitakuwa nyuma katika Maendeleo na mustakabari wa Taifa langu.

Naumia sana na nyie mlio Negative na hamjui tu msababisha navuta Bangi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mbunge au ni mea au nimwenyekiti wa chama mkoa

Huyo Rais wako hajafanya chochote cha kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe na bima usiwe nayo, uwe.na umri chini ya miaka 5 au uzee wa miaka 70 na kuendelea, hakuna huduma ya dawa unaweza kupata katika hospital za serikali hasa hizi ndogo na vituo vya afya. Utapata huduma ya kumuona daktari na maabarra. Vingine vyote unaambiwa nenda kanunue. Lakini tunaambiwa bajeti ya dawa ni 200Bil, unajiuliza izo dawa zinaenda kwenye maduka ya madawa au kwenye hospital?

Nimeenda hospital ya serikal mara tatu hakuna siku nimepata dawa, zaidi nilimkuta mgonjwa anayeteseka na maumivu manesi wanamuangalia ameandikiwa dawa na drip hospital hakuna nikamsaidia kwenda kununua na kumuomba nesi tena kwa kumpa chochotee ili amtundikie drip na kumpa hayo madawa.

Mtoa mada unaweza kuwa haupo sahihi sana lakini kuna mambo mengi umeibua yanahitaji mjadala mpana.

Wakati wenzetu wa kagera wamepatwa na majanga, waliambiwa serikali wala ccm haijasababisha tetemeko kila mtu atabeba msalaba wake, tena wameambiwa hivyo na kiongozi mkuu wa nchi anayepaswa kuwa ndiyo mfariji mkuu. Na hata michango ya wanachi hawakupewa waliopata majanga, ilienda kutekeleza wajibu wa serikali na taasisi zilizojaribu kwenda kumsaidia mwananch moja kwa moja zilizuiwa na kulazimika kuipeleka msaada serikalini. Na ikafikia watu wakaanza kulaani serikali kula michango ya waanga wa tetemeko.

Yalipotokea majanga hukko msumbiji, zambia na zimbabwe tulikuwa kwanza kupeleka msaada wa chakula na madawa. Hapa unakaa unajiuliza, uzalendo maana yake ni nini?

Sikubaliani na kutokulipa kodi, lakini yapo maswali yanayohitaji majibu hapa, na hivi mijadala kama hii imezuiwa basi wengi wetu tutaishia kufuata msimamo wa mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuzawadia gongo ya magu
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuandika unacho kiandika?

Unacho kitetea unajua kina madhara gani kwa Taifa na kizazi kijacho au kizazi chako?

Serikali kazi yake ni kuweka Usawa wa kimazingira na Kisheria, kujituma hizo ni juhudi binafsi.

Mwaka 1992 Barabara ya Mpanda sumbawanga watu walikuwa wanasafiri week nzima, wakiwa wamebeba vyakula, vyungu na viberiti na isitoshe watu wameliwa sana mbuga ya Katavi na Simba.

Sasa hivi ni masaa kadhaa ukivaa shati jeupe kutoka Mkoa wa Katavi mpaka Sumbawanga huchafuki Bado haya mnajifanya hamyajui!!? Inaniuma sana.

Inaniuma kwasababu mnapaka Serikali bure matope, changamoto zipo na haziwezi kuisha mpaka Yesu anarudi.

Kiufupi tulipe kodi ili vizazi vyetu vije kupiga Hatua zaidi, tuache Ubinafsi tufikilie wajao..

Binafsi pamoja na bangi zangu kichwani Naamini Baba Dr Mh Rais ni njia ya HAKI kwa watanzania wote, Mzee huyu ni wa kumpa Moyo maana akiwa na kinyongo ni Lahana kwetu.

Tulipe kodi ndugu zangu...... Tulipe kodi... Faida moja ya kodi zetu ni Maisha haya tulio nao leo.. Unafikiri kama wazee wetu wasinge toa Kodi ya kichwa ungekuwa na kiburi iki ulicho nacho?

Mungu akupe Maisha marefu Rais wangu, sina Elimu Sina cheo ila najua thamani ulio tupa kutoka katika fikra zako zenye nuru na Baraka kutoka kwa Mungu.

Naipenda Nchi yangu sitakuwa nyuma katika Maendeleo na mustakabari wa Taifa langu.

Naumia sana na nyie mlio Negative na hamjui tu msababisha navuta Bangi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio, Kuna watu watakuja hapa na story zao za uzalendo wakijifanya wanaipenda Sana hii nchi huku wakiwa wamejificha kwenye kivuli Cha kutetea matumbo yao, Binafsi naanza mgomo rasmi wa kulipa Kodi maana sioni namna inavyonifaidisha Mimi na watanzania tulio wengi pamoja na kuwa na rasilimali nyingi hapa nchini.

Kuanzia leo nikikamatwa na traffic natoa pesa tu sitaki risiti, nikipanda mwendo kasi nitataka wanipe ticket used ifanikishe tu kunifikisha ninakoenda, nikienda ubungo nikilipa 300 sitaki ticket na nikinunua kitu chochote sitaki risiti ya aina yeyote ama nikifanya manunuzi kariakoo hata ya mamillion ya pesa nitawaambia wanipe risiti yenye gharama pungufu na niliyonunulia,nikienda shell najaza mafuta kwenye gari siombi risiti( ni bora hii pesa iliwe na wavuja jasho wenzangu, kuliko kuliwa na manyang'au wachache serikalini).

Sijaona Sera na watawala wenye uchungu na nchi hii wa kunifanya niwe mzalendo, hawa wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao huku wakiimba pambio za uzalendo, Ukiwaona utadhani wanamaanisha wanachokiongea lakini kiuhalisia wanalinda maslahi yao.

KWA NINI NASEMA HIVI?

Nimejaribu kufuatilia maisha ya watanzania walio wengi hayafurahishi hata kidogo, wamechoka, wamekata tamaa hawaijui hata kesho yao.., maisha ni magumu kuzidi maelezo na hamna Sera nzuri za kibiashara na kiuchumi dhidi yao, wakiwa bado wanahangaika kutafta pesa angalau ya kula wanakutana na migambo wa jiji na tume ya mkurugenzi na mkuu inapita kukagua usafi, Hawa jamaa wanachojali ni rushwa tu wao wakikuta hata vikaratasi havijachomwa au majivu umemwaga pembeni wanataka elfu50 papo hapo au uwape rushwa kidogo wakuache na Kama huna wanakupeleka polisi ambapo wanaweza kukuambia uyachome au kuyasogeza na hali ikawa ya kawaida kabisa.

Angalia wakulima wa mahindi, kahawa, mbaazi, na Sasa korosho wameshafungwa mdomo hurusiwi kusema hujalipwa Tena, ukisema hujalipwa unapelekwa ndani.., huko mahospitalini watoto wwtu wa chini ya miaka5 na mababu zetu wanatakiwa watibiwe bure.. kaangalieni kinachoendelea huko.

Shule za serikali zimeshakuwa vituko, watoto wetu wanachokipata humo sio elimu tena na ndo maana hata hawa wanaotutungia mitaala na Sera hizi za elimu hawaruhusu watoto wao wakasoma hizi shule,

Kwa watumishi wa umma huko ndo Hali iko mbaya sana mpka Leo Kuna watumishi wa umma wanalipwa 260,000/= kwa mwezi kabla ya makato, wamewabagua kwa makundi watoto wa masikini utawakuta kwenye taasisi sizizolipa vizuri hizi za 260k, 300k,340k,400k,450k,650k,700k, na 820k na hawana allowance zozote zingine tofauti na mshahara, huku watoto na Hawa vigogo wakiwekwa kwenye taasisi za umma zinazolipa vizuri ambazo utakuta security guard tu anaanzia 1.5m na allowance Kama housing na transport wanapata, kwa Hali hii kwa nini niwe mzalendo?

Ndgu zangu vijijini wanachangia bwawa moja la maji ya kunywa na mifugo na huku budget ya waziri kutembelea zinduzi mbalimbali zisizokuwa na tija zinatosha kujenga visima zaidi ya10 vijijini, mshahara wa mkurungenzi na marupurupu yake kwa mwezi yanatosha kulipa mishahara ya kima chini Cha miaka 30 ya mtumishi wa taasisi hiyohiyo moja huku akiwa analipiwa kila kitu na huyu wa kima Cha chini hana Cha ziada zaidi ya mshahara, kwa nini nilipe Kodi?

Yanayoendelea huko PSSSF/NSSF yananiongezea hasira zaidi ya kutokulipa Kodi... Hapa namba one alicheza mchezo wa kuagiza akijua kabisa alichosema hakitekelezeki, ukienda kwenye hizi ofisi utawahurumia vijana na wazee wanaosubiria mafao Yao, wastaafu wanalipwa kwa kikotoo Cha asilimia 25 na vijana wanaambiwa waje baada ya kufikisha miaka55 kuchukua pesa isiyozidi mill5😀😎, Cha kusikitisha zaidi wengine hawakuwa wanachangia kisheria kwenye mifuko hii, walikuwa wanachangia kwa hiari Cha ajabu nao wanapata usumbufu mkubwa mno kupata pesa zao

Binafsi, sitaki kuwa mnafiki na mzalendo kwa watawala wanaofuja rasilimali zetu, na hata nikikuta mtumishi wa umma anakula rushwa ama anaihujumu serikali kwa vyovyote vile nitamsapoti, nina sababu nyingi za kufanya hivi kuliko kuwa mzalendo.

Angalia bunge la ndugai na CAG, wanamnyonga Assad ili wafisadi vizuri wakijifichicha kwenye koti la uzalendo, wanatetekeza mabillion ya pesa kwa kununua madiwani na wabunge na kugharamia chaguzi zisizo na tija.. kwa nini nilipe Kodi ikatumike namna hii?

Viongozi wakubwa ambao wanagharamiwa kila kitu na serikali ambao hawajui hata gharama ya kujinunulia chumvi ikoje wakilipwa mishahara minono isiyokatwa PAYE anatunga na kupitisha Sera za kukatwa Kodi kwa mtumishi anaelipwa 260k per month na asiye na allowance yeyote na akistaafu alipwe kwa kikokotoo Cha asilimia25, huku yeye akichukua pesa zake zote za kustaafu kwa mkipuo.. kwa Hali hii kwa nini nihamasike kulipa Kodi?

Watawala wasiojali usalama wa raia wao,Wala hawastushwi na Hali za maisha yao unawezaje Kusema ni wazalendo, wametengeneza mazingira gani ya kuwaajiri vijana? Ukiwauliza swali hili Wana majibu rahisi tu eti hakuna serikali yeyote duniani iliyoajiri raia wake wote, sawa hatukatai lakini mmetengeneza Sera na mazingira mazuri ya Hawa vijana kujiajiri? Au hii sio kazi yenu?...kwa nini tulipe Kodi kama hamjui Cha kufanya?

Kuanzia leo nawasapoti watumishi Wala rushwa na mafisadi na wasiolipa Kodi kuliko mafisadi mapapa wanaojificha kwenye koti la uzalendo, wanajoiita watetezi wa wanyonge huku wakiwanyonga bila huruma, wanaoimba pambio za maskini huku wao wakiwa matajiri wa kutupwa.

" Nchi inajengwa na wenye moyo, Inaliwa na wenye meno"

Mungu wabariki wakwepa Kodi wote
Unamkomoa nani Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio tu kulipa kodi....mm ni mwl,aisee tunayofanyiwa kwangu mm its over,siwez kuvumilia tena huu mwaka ni wa mwisho kufanya kazi na nimefanya kazi almost six years tu na nishachoka tayari.....nitakachowafanyia kwa kunitumia muda wote ni kuchukua limkopo kama fidia ya muda wang walionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu simtaji wa milioni 4 unatakiwa mauzo yako yasizidi milioni 4 kwa mwakamzima, inamaana kama wewe kwa siku mauzo yako yanazidi 12000 unapaswa kulipa kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haifiki elf12 kwa siku, hesabu ni elf 5 yani hiyo saloon ipo uchochoron,wamemwachia saa2 usiku baada ya kuwapoza walimwambia asipofanya hivyo atalala ndani dogo kaona isiwe tabu.

tatizo lugha
 
Mimi sio tu kulipa kodi....mm ni mwl,aisee tunayofanyiwa kwangu mm its over,siwez kuvumilia tena huu mwaka ni wa mwisho kufanya kazi na nimefanya kazi almost six years tu na nishachoka tayari.....nitakachowafanyia kwa kunitumia muda wote ni kuchukua limkopo kama fidia ya muda wang walionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm niliwaachiaga kazi Yao mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom