Ninaandaa na kuuza miradi ya kilimo

Ninaandaa na kuuza miradi ya kilimo

airwing

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
425
Reaction score
596
watu wengi wana mitaji ya kufanya biashara au kufanya fursa ya kilimo, ambayo fursa hiyo inafaida kwenye soko.
Lakini changamoto inakuja wengi huwa wanaanzisha nakuishia kwenye hasara badala ya faida kama walivyotegemea.
Kwa kutambua hilo, Nimeandaa mbinu na mikakati ambayo 99% uleta matokeo chanya ya kile ambacho mtu anataka kufanya kwenye kilimo na akafanikiwa, Kwa kuzingatia mambo mengi mfano. mbegu, tafiti mbalimbali, vipimo mbalimbali,, soko, mpaka mtu kufikia faida ya kile alichoanzisha.
2. Kwa wale ambao wana mitaji lakini hawajui nini cha kufanyia ili kuingiza faida ninazo pia Mbinu za kuwasaidia katika kilimo.

Gharama itategemeana na mradi husika.

Mawasiliano yangu 0657 230355 whatsup tu, calls 0746 785704.

Karibuni.
 
Je hiyo miradi inategemea mvua au umwagiliaji
 
Nilichoaandaa Mimi si kitu fulani, Bali kile ambacho kinaitajika katika soko kwa wakati huu.. kwahy kuna mda mwngine katika msimu fulani ikawa ni Cha umwagiliaji au Cha kutegemea Mvua!!.
 
watu wengi wana mitaji ya kufanya biashara au kufanya fursa ya kilimo, ambayo fursa hiyo inafaida kwenye soko.
Lakini changamoto inakuja wengi huwa wanaanzisha nakuishia kwenye hasara badala ya faida kama walivyotegemea.
Kwa kutambua hilo, Nimeandaa mbinu na mikakati ambayo 99% uleta matokeo chanya ya kile ambacho mtu anataka kufanya kwenye kilimo na akafanikiwa, Kwa kuzingatia mambo mengi mfano. mbegu, tafiti mbalimbali, vipimo mbalimbali,, soko, mpaka mtu kufikia faida ya kile alichoanzisha.
2. Kwa wale ambao wana mitaji lakini hawajui nini cha kufanyia ili kuingiza faida ninazo pia Mbinu za kuwasaidia katika kilimo.

Gharama itategemeana na mradi husika.

Mawasiliano yangu 0657 230355 whatsup tu, calls 0746 785704.

Karibuni.
Makaratasi na vitendo ni vitu viwili tofauti. Hizo ni theory
 
Back
Top Bottom