God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Kaka usikate tamaa, lumbuka nchi jnaongozwa na waalimu, nakusihi pigania haki zako na kwa vile una ujanja wa kuja hadi kweny mitandao.. Unaweza kufikisha ujumbe wako kwa wahusika kirahisi sana.
Fight for your right and never give up!
Busara ni pamoja na kukubaliana na hali halisi ya maisha, kupambana kwa njia ya haki na kupata haki yako bila kuchoka, kuteteleka au kuacha.
Mimi nauzunika sana ninapoona maigizo yanayoendelea na serikali: nikimtazama mhshimiwa rais naona ni mtu mwenye moyo na dhamira ila kuna watu nadhani hawampi taarifa sahihi na kama wanampa basi kunauzembe mahala! ili nitukio laajabu kuwahi kutokea nchini kwetu! ninacho amini nikwamba hela za mitihani zilichangwa na wanafunzi na serikali kuongezaea kama ruzuku ili kumpunguzia mtazania wakawaida makali ya michango hiyo.
unamteua mwalimu kumtoa kituo A mpaka B unamfanyisha kazi kwa wiki 1 kwa form 2 na mpaka wiki 3 kwa form 4 anamaliza kazi yake kwa uaminifu mkubwa unachukua mitihani yako unaondoka unamuacha kama alivyo kuja! na unamwambia aandike madai! ivi uyu mtu kesho unataka akaingie darasani afundishe kwa moyo wote???
mtu huyuhuyu anaanza kazi miezi miwili mpaka mitatu haumlipi mshaharawake unadhani atakua na moyo wa kufanya kazi?? mi nadhani serikali kama kweli inania ya dhati ya kufanya mabadiliko kwenye elimu basi kwanza ijitathimini yenyewe kwanini inamdharau kiungo wake muhimu namna hii???? nipo kwenye hatua za mwisho za kuachana nakazii hii pia hasa baada ya kuwekeza mahala na kujiendeleza kielimu nilipenda sana kua mwalimu lakini mazingira ya kazi hii nimagum mno hasa unapo dhani itakufikisha mahala flani kwakuitegemea yenyewe tu!
usiache kazi kwa asira inahitaji maandalizi yamsingi ya kiuchumi na kisaikolojia na utayari wa moyo na kujiamini kulikotukuka kuwekeza kutoka kwenye mazoea ya mshahara mpaka kujilipa mshahara! jipe miaka 10 ukijipanga na kuwekeza then achana nayo maana siioni futre ya kazi hiyo since hata walioko humo kwenye wizara hiyo wengi sio creative bali offensive wataalam wa vitisho na kauli za dharau huku wakiwa na taalumandogo sana na ofisi walizomo.
Ndio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe.
Nilisimamia mitihani ya kidato cha pili, mtihani umeisha hatukulipwa hadi jana, jana watu wanalipwa nakuja kufatilia pesa yangu naambiwa jina langu halipo, leo nimuone afisa elimu, namuona leo anasema hakuna fungu nilisahaulika niandike Barua kufungua madai nitalipwa kwa OC (other chages) mafungu ya mkurugenzi.
Tafsiri yake ni kuwa limeshakuwa deni tayari hili, jasho langu, kila siku nilitumia tsh 8000 kwenda na kurudi kusimamia mitihani kwa siku saba. Kuja hapa halimashauri kutoka nnakoishi nakodi pikipiki elf 8 kwenda na kurudi kila siku, hapo bado kula, Nimetumia pesa eti leo nidai tena. HAPANA
Tangu nimeanza kazi nna miaka mitatu sasa ninaidai serikali, alafu leo niongeze tena kudai?
Kwa dhati ya moyo wangu nimeamua na sirudi nyuma, nimeachana na ualimu Rasmi, siwez kuwa mtumwa kwa haki yangu. Nita fight, nitatoka, sio wote wenye kazi ndio wanamudu maisha .
binadamu kamili lazima adaiwe na kudai bora yako unadaiNdio maamuzi niliayoamua na hapa nafanya mpango kukusanya vyangu huku nilipo, najua life litazonga ila kipimo cha akili ni ugumu wa maisha, ipo siku nitatoka tu. Siwezi kuwa mtumwa kamwe.
Nilisimamia mitihani ya kidato cha pili, mtihani umeisha hatukulipwa hadi jana, jana watu wanalipwa nakuja kufatilia pesa yangu naambiwa jina langu halipo, leo nimuone afisa elimu, namuona leo anasema hakuna fungu nilisahaulika niandike Barua kufungua madai nitalipwa kwa OC (other chages) mafungu ya mkurugenzi.
Tafsiri yake ni kuwa limeshakuwa deni tayari hili, jasho langu, kila siku nilitumia tsh 8000 kwenda na kurudi kusimamia mitihani kwa siku saba. Kuja hapa halimashauri kutoka nnakoishi nakodi pikipiki elf 8 kwenda na kurudi kila siku, hapo bado kula, Nimetumia pesa eti leo nidai tena. HAPANA
Tangu nimeanza kazi nna miaka mitatu sasa ninaidai serikali, alafu leo niongeze tena kudai?
Kwa dhati ya moyo wangu nimeamua na sirudi nyuma, nimeachana na ualimu Rasmi, siwez kuwa mtumwa kwa haki yangu. Nita fight, nitatoka, sio wote wenye kazi ndio wanamudu maisha .
Hao wote unawasema walikua walimu hujiulizi ni nini kiliwakimbiza wakaachana na ualimu? Jiulize walidumu na chaki kwa muda gani? Endelea kujipa moyo hapo.
Mkuu sirudi nyuma, kabla ya kuwa mwalimu mie nilikuwa fighter kitaa na nilikuwa silali njaa. Siwezi kuwa mtumwa kwa haki yangu kabisa nnayohistahili.
wanajisemea tu kujipa moyo.. magufuli kafundisha mwaka mmoja tu katika maisha yake yote akakimbilia kuwa mkemia wa kiwanda mwanza huko.. majaliwa nae mwaka mmoja tu tena chuo cha ualimu kama mkufunz na akasepa..
sasa mtu mwalimu mwaka wa 5 huu huoni mabadiliko yoyote unasema.magufuli nae mwalimu