Ninaacha Ualimu tangu leo

hakuna jambo jema kama kuushinda nafsivya uoga...uwoga tulio nao ndio umetufikisha tulipo...tumegraduate mwaka mmoja....kitengo kimoja...wenzako wana maduka..viwanja...usafiri nk.
then ww hakusomeki bado unakomalia barabara hiyo hiyo..mara miaka 50 kabang imetia timu kustafu kuleee kunagonga hodi..ukijiaangalia una suti tu mbili ndani ya begi, umesomesha mtoto mmoja yupo advance bado.
anyway inshort tuwe wavumbuz ukiona siku zinaenda kitengo hakilipi piga chini tafuta uchochoro mwingine kwa speed ya mwanga utafikia ndoto zako tu.
 
Dumelang acha upumba.v.u ungekuja kuomba ushauri sio kuja na conclusion zako, eti kuanzia leo naacha kazi. Ebu tafadhali sana fuata ushauri wa post #12 na #14 maana kuna walimu wengi wametoka kwa kuanzisha miradi baada ya kukopa, maisha si lelemama

Punguza hasira mdogo wangu jipange una majukumu mbele
 
Last edited by a moderator:
Uamuzi wa kiume huo!! Bravo!!
Binafsi sijawahi fanya kazi serikalini, na naendelea na jitihada za kujiajiri mwenyewe, baada ya muda kidogo inshaAllah, nitaacha kabisa hizi kazi za kitumwa Dumelang
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana sana, mimi niliacha zamani kidogo, na niliweka thread miaka ya baadae hapa jamvini na nilitoa sababu, wengi walinipinga lakini kweli sijawahi kujuta! Yalikua maamuzi ya "kijinga" kwa kipindi kile ila nashukuru Mungu naendelea mbele

Naomba link yako y thread yako mkuu
 
mkuu masuala yote hayo tunasababisha walimu wenyewe hongera! kuna halmashauri nyingine walimu hawakulipwa hela ya semina, wakaenda kusimamia hivyo hivyo kigumu wakaahidiwa watapewa hela mwisho wa kazi, siku wamemaliza jamaa wanakusanya mitihani wanadai "mtaletewa pesa kwenye vituo vyenu" imagine mtu umeenda kukaa sehemu zaidi ya wiki ukitegemea utalipwa! mbaya zaidi siku ya malipo unaambiwa ufuate hela halmashauri tena kwa gharama zako!>>>>>>> but walimu hao wala hawalalamiki... mimi nadhani ukipata nafasi ya kuchomoka ni bora kuliko unyonyaji huu wa wazi
 
Nenda mwalimu kujiajiri usiogope hata ukichekwa na kudharauliwa wewe usisikilize maneno yao.
 
Dah Unanikumbusha nilivyoacha kazi serikali za mitaa tena nikiwa mkuu wa idara 2009. Hongera. Kutoka misri yataka moyo! Watu watakucheka na watakukejeli kikubwa stay focused. Kuna ugumu wake nje ya misri. Baadaye maisha yataendelea ktk uhuru. Binafsi baadaye nilijuta kwa nini nilipoteza muda wangu mwingi ktk utumwa wa ajira. Graduate unaongozwa na graduate and sometimes mfagiaji wa DED ana vi-overtime kukuzidi wewe mwl graduate wa shule ya kata.
 

Mkuu inauma sana haki yako inapodhurumiwa ukijua, sasa suala langu inaonesha ni mchezo huu maana huwezi sema pesa za wasimamizi zimeisha mie nilipwe kwenye OC wakati idadi ya wasimamizi inajulikana, sasa kazi gani ya kunyonyana hii? Bora ku hustle ukijua nakula kwa haki, na siibiwi naona.
 

Kwani yeye alizaliwa akiwa mwalimu hadi huo ugumu wa kitaa asiujue?
 
Dogo wewe Susa wenzako twala Na mwezi wa sita mishahara inapaaa, utajibeba
 
Si bure watoto wetu wanafeli mitihani embu ondoka haraka sana. Yaani thamani ya kazi yako ni ndogo kuliko posho ya kusimamia mtihani siku 10????? Mwajiri wako ni afisa elimu? Dah umeniudhi sana ningekuwa bosi wako nakupitishia hiyo barua faster alafu nakulamba na makofi ili iwe chachu ya huko uendako
 

Maamuzi magum haya
 
Dah! Ila unaweza kuwa mjasiliamali wakati ukiwa mwalimu.fight ukiwa mwalimu unaweza kopa ukaanzisha ishu nyingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…