Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,275
- 170,102
Haha. Anafanana na wapi tena?
Ha ha ha ha uuuh ncheke mie
Haha. Anafanana na wapi tena?
Haha. Anafanana na wapi tena?
Anyway, 24 bado mdogo. Acha alete pozi, eventually bibie atatambua thamani yake na kuondoka. Atajutia kwa muda. Watakuja warembo wengine. Atazingua tena. Mwisho atakua, na ataweza ku-control hiyo condition and live happily ever after. Ni kawaida.
Kwanza nikubishie sheikh, hampendani sana tena sana, ila yeye anakupenda sana wewe humpendi. Ungempenda usingemtafutia mchepuko kwa sababu yoyote ile!
Tukija kwenye mada yako, kuwa makini sana kiongozi, nakuapia siku si nyingi atakuchoka na hiyo tabia. Unajua inawezekana anakereka sana na huo utoto wako ila ni vile anakuangalia tu na moyoni kwake kwa kuwa anakupenda sana anajikuta analia tu, siku likitokea jamaa likajifanya kujali feelings zake umekwisha kaka.
Nikupe siri moja, muite ongea nae kwa kirefu sana, mwambie unamuomba msamaha sana kwa kipindi chote ulichokuwa nae na unajisikia vibaya umekuwa unamuumiza feelings zake kwa kumnunia bila sababu kisha mwambie unaacha kuanzia leo na umuombe akusaidie uache.
Umaanishe na uache kweli. Kaka unadhani akiamua kuku cheat hata ukiwa na wivu wa aina gani atashindwa kaka?
"Wanawake ni wavumilivu sana, siku akikuchoka huyo binti mmmh".
Tatizo lako ni kwamba hujiamini. Nahisi unatamani ungekuwepo chuo bado, mkae room moja, msome course moja, yani kila kitu mfanye pamoja. Mkitengana kwa dakika moja tu, unahisi anachepuka na ndo kinachokununisha hicho. Ukiendelea na hiyo tabia, utafanya watu wakuchoke mpendwa. Mwanaume Jiamini, na punguza kumuwazia vibaya mwenzako. Jifunze kumuamini ili hata na wewe uishi kwa amani
Bila picha ni ngumu sana kuamini. Mtu akinuna anajulikana kabisa. Weka ushahidi
wewe una Homoni nyingi za kike kuliko za kiume
acha ukuma ww hujalazimishwa kukoment
Habari wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 24..Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana tena sana. Mm ndo nliemtoa usichana wake.Nimemaliza masomo yngu ya chuo lakini yy nimemuacha chuoni.tatzo linalokuja ni kua nina wivu sana tena sana kitu kinachopelekea tuwe tunagombana mara kwa mara.Yaani anaweza akafanya kitu kidogo tu kwa bahat mbaya basi mm nanuna ata cku 3 yy mwenzangu anabaki kulia kila cku na kuomba msamaha tu. sio kwamba napenda hii hali ya wivu yaani najikutaa nanunaa tu ghafla ata kwa vitu vdo kuna muda uwa najitahidi niwe ata nachangamka hali iyo ikitokea lakini wapi yn nakua nimenuna tu..uzuri ni kua na yy anaifahamu iyo tabia yangu na anajitahidigi sana kua makini hackosee lkn akiteleza kidogo tu yn nanuna sanaa..nilikua natafuta ufumbuzi wke nikadhani labda kwasbbu nimemueka kichwani sana ndmn nakua hvo...nikajitahidi nitafute ata kimchepuko ilimrad nicwe naumiaa pale anapokosea kty kidogo lakini halii ndo iko hvoo....hv sasa hv navoongea nimenuna sina amani kisa mchana aliingia class bila kunitaharifu.... narudia tena..hali hii mm mwenyewe siipendii ila inanitokea tu...Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini