iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,142
Na hili linahitaji usome mpaka degree kulitatua na kujua madhara yake
Akaaaah sitaki rudi km mwanzo, upambe niachie mie.mlongo nimeanza hivi

Mbona deepPond analea mchepukoHuyu ni mchepuko wee mlongo, hana mamlaka hayo.

Akaaaah sitaki rudi km mwanzo, upambe niachie mie.![]()

inamaana uchawa siuwezi?Hahhaaa...kuna siku atakuvuruga mpk utamuhadithia mkeo.Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.
Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).
Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.
Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.
Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa
Naombeni ushauri wenu wadau
DeepPondHivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.

Ndio maana hata mchepuko hakuheshimu. Una mihemko sanaSawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi

Ha ha ha ....DeepPond
Uje huku u have ur co accused here mkuu

Ajifunze kujua na kustick kwa kilichompeleka kwa uyo Mchepuko.Michepuko mnataka lakini uwezo wa kui handle hamna, mtakufa siku si zenu...
Mtafute mwenzako DeepPond akupe nyanga...

Wanaokutukana wanakosea sana, Unapaswa kushauriwaSawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Ha ha ha ...Kuna vitu vinachekesha Sana,Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee