Nina wasiwasi na huyu mwanamke

Nina wasiwasi na huyu mwanamke

Leo nilikua nimeshika cm yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi

We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili
daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini
Me sinaga maskhara kabisa na hivi viumbe.
A kizingua nampiga chini
Mkuu ni kama una presha ya kupanda alafu umekunywa redbull 3, haina haja kuchunguza simu yake kila mmoja ana privacy yake na anajielewa mpaka upo nae.
"Ukimchunguza sana bata hutamla"
 
U

Fanya Hvo mkuu ILA usibadilishe uamuzi wako
 
Ushauri wangu kama ni mkeo chunguza kwanza ikiwezekana mwambie kijanja, maana utakuja kukwaa wa aina hiyo hiyo au zaidi yake. jaribu kufuatilia, mhalifu utamjua tu, hawezi kukuficha sana kwa siku zote za wizi wake. Ila kama huna mtoto naye au hujaapa kanisan naye basi tupilia mbali na msahau kabisa
Mkuu kama una mtoto nae je?
 
Kwan wanaume mmna hati miliki ya kuchepuka? Hebu pigen kimya. Unavomuona huyo demu wako hafai kabisa wewe hujawah kuchepuka ukiwa ktk uhusiano naye? Hebu achen kuhukumu na kulaumu wanawake mtuacheeeee
 
Boss ungesubiri mpaka show ya pili ili ujue aliyojiri ndo umuache au unaonaje?
 
Ukimkuta bikira at least unajua hajawahi kuwa na mtu.

Ambaye hana bikira ujue anamtu,akigongwa nje usishangae.

Hahahahahahahaa dzudzuku wanawake hawa wana mambo mengi sasa huyo uliomkuta nayo akiipata ya kumsulubisha yaani huyo ndo atakulisha matapishi yako hahahaha
 
Mkuu ni kama una presha ya kupanda alafu umekunywa redbull 3, haina haja kuchunguza simu yake kila mmoja ana privacy yake na anajielewa mpaka upo nae.
"Ukimchunguza sana bata hutamla"
Hakuna privacy kama sehemu za siri, mnaonyeshana tupu zenu ila simu mnaficha huu ni ujinga...

Kwa mawazo hayo UKIMWI hautakuja kuisha Tanzania
 
Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'

Daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini, mimi sinaga masihara kabisa na hivi viumbe.Akizingua nampiga chini.
Wewe ndo umeshapigwa chini tayari basi tu hujajikubali.
 
Mkuu kama una mtoto nae je?
kama una mtoto naye komaa naye, kama mjeuri mwachie mtoto, utamtunza akiwa kwake. kwa sababu ukiondoka naye experience inaonesha wanateseka kwakuwa wanaume ni busy sana. ukijaoa hujui huyo atakuwa na mtazamo gani juu ya mtoto wa kumkuta
 
Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'

Daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini, mimi sinaga masihara kabisa na hivi viumbe.Akizingua nampiga chini.
Ah ah ah ukiona manyoya
 
Back
Top Bottom