Nina wasiwasi na huyu mwanamke

Nina wasiwasi na huyu mwanamke

Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'

Daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini, mimi sinaga masihara kabisa na hivi viumbe.Akizingua nampiga chini.

UKIMDILITI MWENZAKO ATAMDOUNLOD
 
Inawezekana ni noma katika masuala ya kazi yake.Kingine nakushauri tu madem ka nao kimachale.Kama vile uko KGB na una mke CIA.sio kuzamia mzima mzima
 
Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'

Daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini, mimi sinaga masihara kabisa na hivi viumbe.Akizingua nampiga chini.
Teh! Hapo noma.
 
Ukute amefanikisha deal la hela........chunguza kwanza
 
Labda kawa dansa wa twanga mwenzio anachat na shabiki wake.
 
A
Leo nilikua nimeshika simu yake nikaingia inbox nikakuta kuna message katumiwa na mwanaume kaandika hivi;'We ni noma sana unajua thanks na yeye aka reply hiyo ndo show ya kwanza subiri ya pili'

Daaah hapa nilipo sijamuambia chochote na namuacha kimya kimya bila kujua kama nimempiga chini, mimi sinaga masihara kabisa na hivi viumbe.Akizingua nampiga chini.
Apo safi kaka never trust a woman
 
Daah.. labda kajitumbukiza kwenye bongo fleva na huyo ni meneja wake na wametoka kupiga shoo ya kwanza kona baa...
 
Back
Top Bottom