Wale walikuwa wanachunguza had ukuchaKizazi chetu sisi hakuna tujualo zaidi ya DNA.
Wazee wa zamani hata mtoto akiwa na wiki moja wanajua mtoto ni wako au laa, hata sijui wanajuaje sio kwa uchawi, Na hasa wale wazee wa kienyeji (vijijini)
Dooh!Nenda kwa mganga ndio unataka uambiwe hivyo kama hutaki DNA
Asante kwa ushauri, nitaufanyia kaziChukua pic yako ya mtoto naya shemeji.mtafute mtu njee ya watu wa karbu .umuulize uyu mtoto kafanana na nani
La hasha! Umewahi kujiuliza utajisikiaje pale siku utakayoambiwa mtoto sio wako na ulihusika kwa 100% katika matunzo ya mtoto na mama yake?Unaanza mipango ya kukimbia damu yako.
Asante kwa kunipa moyopole sana..ndo kaz ya mungu
Unajua process za kupima DNA? Tanzania hupewi majibu ya ukweli utapewa fake tu, kupunguza idadi ya watoto wasio na baba, aende South Africa au NairobiJichange kila mwezi weka 50000 kwenye account maalum baada ya mwaka utakuwa na laki tano na inatosha kabisa kupima DNA
Umezungumza maneno yamenipa tafakuri sana akilini mwangu, ni kweli uliyoyasema ila WASI WASI ni mbaya sana na kisaikolojia inaniathiri sio kidogo. Lakini nashukuru maana nimepata mwangaza na nguvu mpya ya kuendelea kuitunza familia yangu bila hiyana, unajua kuna nyakati tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema ataweza kubadili hata majina yangu kwenye cheti cha mtoto cha kuzaliwa akaandika ya upande wa kwao kana kwamba mtoto aonekane kama vile baba yake hayupo/hausiki kabisa na mtoto maana hata yeye na ndugu zake wote waliozaliwa pamoja hawatumii majina ya baba yao ila mama yao aliwaandikishia majina i mean second&third name upande wa mama na mambo mengine kadha wa kadha ndio maana nikaanza kuingiwa na huu wasi wasiYaani hakuna shida yoyote ila tu una wasiwasi, kwanini mnapenda kujiweka kwenye tension hata bila sababu?
Hakuna mtu kajitokeza kudai mtoto ni wake, hakuna mtu umemfumania na mama watoto wako ila akili yako imeamua tu kuwa mtoto si wako, huna hata ushahidi. Ya nini yote haya mkuu. Hebu jipe tafakari wewe mwenyewe alafu kuanzia leo amini huyo mtoto ni wako na umpende kwa dhati utaishi maisha ya amani sana na furaha.
Kutumia tu kigezo kuwa alikuwa anaishi kwa shemeji yake kuamua kuwa mtoto si wako wa shemeji yake kisa hawana mawasiliano aisee umeenda mbali sana na bila sababu. Utaishia kumchukia mtoto bila shida yoyote malaika wa Mungu huyo. Hebu jiamini mkuu, acha kujitungia mambo negative kichwani na uyape nafasi yatakuvuruga hautaamini. Utaishi maisha ya taabu sana kisaikolojia bila sababu.
Labda nikuulize swali ambalo nawe ujiulize mwenyewe, kwanini akusingizie wewe? Una mali nyingi sana hapo ulipo kwamba anataka utajiri wako? Kama jibu ni hapana basi stand up and grow bro. Kuwa mwanaume anaejiamini, mtunze mama na mtunze mtoto.
Wale walikuwa wanachunguza had ukuchani
Asante sana, nitachunguza na hiliTizama michirizi ya KWENYE viganja vya uyo mtoto.
Mtoto yeyote Lazima ZILE pattern zifanane na za baba Ake.
PIGA UA GALAGAZA
Sent using Jamii Forums mobile app