Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,656
- 13,181
Hapa kuna sababu nying za kusingiziwa ujauzito(mtoto) mda mwingne wanaume tunashikishwa watoto ambao sio wetu kwa sababu wanawake wanaitaji kuficha aibu zaoLabda nikuulize swali ambalo nawe ujiulize mwenyewe, kwanini akusingizie wewe? Una mali nyingi sana hapo ulipo kwamba anataka utajiri wako? Kama jibu ni hapana basi stand up and grow bro. Kuwa mwanaume anaejiamini, mtunze mama na mtunze mtoto.