Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........
Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe
Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama na kushitakiwa Mara huyu kanidukua Mimi, Mara hivi Mara vileee.
Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa
Inashangaza mno.Mimi nasema hakuna ukwelii ni watu wamekaa na kupanga kucheza na akiri zetu tuache kufatilia vitu vya msingi tuafatilieee waoo
Tatizo unategemea story zako unazopata uwanja wa Fisi kutafakari mambo nyeti ya kitaifaNimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........
Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe
Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona
Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Lengo la kuyatengeneza yote hayo ni Nini.Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........
Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe
Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona
Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Pale Nape, Makamba 1 na 2 na akina Nchimbi watakapokuwa jukwaani kumnadi Magufuli kwa nguvu zote..
Huku upande wa pili/upinzani Membe akiwa ndio mgombea mkuu...
Inabaki wanatukanana wenyewe kwa wenyewe in a controlled mood...
Kura zinaibwa.. Aliyeibiwa hachukuwi hatua yoyote kama Mzee Luwasha..
Ndio watu watakuona mtoa thread ni nabii