Nina wasi wasi na huyu dogo

Nina wasi wasi na huyu dogo

Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
tafta rafiki zake wakaribu, waulize kwautaratibu kama walishamuona anajihusisha na tabia zahivo, ukishajua ndo uchukue hatua gan yakuweza kumsaidia ili umtoe huko pasipofaa!
 
Hivi hawa madogo wamekuaje!!?Form 3 anafumuliwa marinda Duh!! Mimi nikiwa form 3 nakumbuka papuchi hainipiti mbele yangu..
 
Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
" Watoto wanapenda mapenzi hata Condom haziwatoshi... "
 
Duuuuh kma wameshamtatua marinda dawa yke ipo....pasha kipande cha nondo kwenye moto then mumtanue 0712 weka hicho chuma mpka kipoe......hpo mtakua mmemaliza hiyo tabia yke
 
Watu labda hawajauliza unataka kumfanyia vipi huo uchunguzi wako?
 
Ungemjibu fresh angekupa na wewe.hapo ndo ungegundua kuwa,dogo sio riziki
 
taratiibu mchunguze /Fwatilia nyendo km hajakolea may be naweza kumuokoa
 
Sijaelewa una maana gani kumkagua.

Ukitaka kupata story za mtu. Tumia marafiki zake. Utapata vingi. Kama marafiki zake ni wa kiume tumia binti kupata taarifa zao.
Sure..tabia zake utazipata kwa marafiki zake au watu rika lake anaosoma nao au kuwa nao mtaani.
Wanasema nionyeshe rafiki zako nitajua tabia yako.
 
Ijumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
Mbna ishu ndogo hyo kaa nae km mwanzo dhen mchote akil kukumnushia hyo mada den Fanya kama unachukulia jambo la kawaida hujali kuhusu MTU akiwa hvo pia jenga mazoea yakuwa nae karibu zaid ili kujenga trust kwake naamin kama n kwel ana huo mchezo atakuja kufunguka na kukueleza den baada ya hapo mtachua hatua ilyo stahiki
 
Mnusishe ugoro tu, akipiga chafya kama ni shoga nnya lazima itoke, ikitoka tu jua mambo nyuma yashaharibiwa au mtasikia kiharufu fulan hiv kichafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom