Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Mkuu hiyo issue haitaki haraka wala huitaji kupanic kama ni kweli itabaki kuwa hivyo, unachotakiwa kufanya mchunguze kupitia marafiki zake na jaribu kuwa karibu nae utaupata ukweli wote.
Mwacheni msimkague manake mkifanya hivyo madhara yake kwwnye masomo yatakua makubwa cha msingi ni kumhasa tu kua hiyo ni mbaya na km anayo au ana kampani inayaendekeza hayo mambo ajitenge nayo kabisaIjumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
Pole sana Mkuu. Fatilia kiundani swala hill. Dunia imeharibika mkuuIjumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
Tumsifu yesu kristuIjumaa iliypita nilkua nmekaa na mdogo wangu wa kiume tunapiga stori akanambia hivi bro ukisikia mdogo wako shoga utamfanyeje,,?? Nikamuambia ntampiga sana na ntamchukia milele na kumkana pia. Dogo nlvomwambia hvo hakusema kitu akaondoka sasa tokea siku hyoo dogo akiniona ana lose confidence kabisa.yuko form 3 alafu mimi ndo namsomesha baada ya bro wangu mkubwa kuwa na mambo mengi.Nimepanga mimi na bro tumkague huyu dogo inawezekana kashaanza hii tabia je nikifanya kumkagua me na bro itakua tumekosea naombeni ushauri
We jamaa umepinda mbaya...Nawashauri msimpanue maana mnaweza mkapitiwa na shetani mkamsuuza....mpelekeni kwa dokta
Zilikuwa taarifa fake zilizovumishwa kuhusu iringa na zilikanushwa mda mrefu sasaHii tabia naskia imeshamiri kwa kasi sana mkoa wa iringa hasa niliwahi kusikia kuwa iringa vijana wa kiume kulana cameroon ni kawaida tu ila ni huko iringa sa sijui kama huu mchezo umeanza kuwa ni kawaida au vipi maana dogo yupo form3 watakuwa washatoa bikra