Nina wasi wasi na hali yangu!

habari zenu wana jukwaa hili.

kijana mimi ni me by sex, iam 25 years old now.

tatizo (naomba tu niliite tatizo) ambalo ninalo mpaka sasa ni kuhusu hii hali yangu ya kutokuwa na feeling zozote za kupenda, i mean falling in love with a girl/woman.

toka enzi na enzi nikiwa o level mpaka namaliza elimu yangu yoote ya sekondari kipindi chote cha nyuma, kwa kweli wadau sijawahi jisikia kumpenda mwanamke wa aina yoyote ile either katika mazingira ya shule ama nyumbani.

nilishajaribu kumapproach mdada fulani, for sure hakunisumbua, alinikubalia, lakini cha ajabu mahusiano yale yaliisha ndani ya mwezi!!

sababu kuu hasa ya kuisha/kufa kwa mahusiano hayo ilikuwa ni mimi mwenyewe!! mdada wa watu nilikuwa simjali.

sms ikitumwa haijibiwi, kama ni majibu basi ni baada ya masaa mengi, mawasiliano yetu kwa simu ilikuwa ni baada muda mrefu, hata akinibip mi hata sijiskii kuongea nae!

hii tabia imejitokeza kwa wadada kama wanne hivi mpaka sasa!!

jamani mwenzenu najihisi kuishi dunia ya peke yangu!!!,

natamani sana kuwa na mpenzi! lakini hii hali inanitisha!!

mimi si mtu wa kuwa busy sana labda ndo niseme ndo sababu, wala pia mimi si mwanafunzi wa aina yoyote ile!

naombeni ushauri wenu tafadhalini!
ningekuwa wewe sasa hvi ningekuwa mbali sana kimaisha kwani huna haja na videmu wakati huna maisha..
 
Sasa kama hata nyeto hupigi, ukiwa na hamu una imalizaje? au sijakuelewa yani unafanya matusi lakini huna feelings za kumpenda unaye fanya naye?
 
pole
wakati mwingine maisha yetu wenyewe ni boring kiasi hatuamini tunaweza kuhamisha furha kwenye maisha ya watu wengine!
-unafanya kazi?
-familia yako ni ya aina gani(namaanisha familia ulikozaliwa)
-una ndugu waliooa au wenye mahusiano steady?
-hebu naimbie kwa kifupi kwako mapenzi ni nini?
-utoto wako unaweza kuuelezeaje ?ulilelewa na mama?
-mwanamke kwako ni nani?
hebu jiatahidi kufunguka!
 
Kuna dawa inaitwa shockap inauzwa ktk panton za kuvuka ziwa victoria! Yaan kama unatoka geita, bukoba kuja mwanza. Ni pm nitakuelekeza utaipataje.
 
Angalia marafiki ulio nao zako kama wanatabia zile zile au wenyewe wanaishi vipi na wapenzi wao nadhani utapata jibu la haraka.
 
kumbe tatizo unalijua na dawa unayo. kwanini hujibu sms zao... huonyeshi hata kuigiza? kupenda kwingine kunakuja kwa kujifunza na kuiga! angalia picha ujifunze dogo au subiri utimize 35 kama alivyosema binamu Kongosho...
 
Last edited by a moderator:
Hao wanne ulowahi kuwa nao nini kilikusukuma uwatongoze? Ni hisia au ulifata mkumbo wa marafiki?
 
habari zenu wana jukwaa hili.

kijana mimi ni me by sex, iam 25 years old now.

tatizo (naomba tu niliite tatizo) ambalo ninalo mpaka sasa ni kuhusu hii hali yangu ya kutokuwa na feeling zozote za kupenda, i mean falling in love with a girl/woman.

toka enzi na enzi nikiwa o level mpaka namaliza elimu yangu yoote ya sekondari kipindi chote cha nyuma, kwa kweli wadau sijawahi jisikia kumpenda mwanamke wa aina yoyote ile either katika mazingira ya shule ama nyumbani.

nilishajaribu kumapproach mdada fulani, for sure hakunisumbua, alinikubalia, lakini cha ajabu mahusiano yale yaliisha ndani ya mwezi!!

sababu kuu hasa ya kuisha/kufa kwa mahusiano hayo ilikuwa ni mimi mwenyewe!! mdada wa watu nilikuwa simjali.

sms ikitumwa haijibiwi, kama ni majibu basi ni baada ya masaa mengi, mawasiliano yetu kwa simu ilikuwa ni baada muda mrefu, hata akinibip mi hata sijiskii kuongea nae!

hii tabia imejitokeza kwa wadada kama wanne hivi mpaka sasa!!

jamani mwenzenu najihisi kuishi dunia ya peke yangu!!!,

natamani sana kuwa na mpenzi! lakini hii hali inanitisha!!

mimi si mtu wa kuwa busy sana labda ndo niseme ndo sababu, wala pia mimi si mwanafunzi wa aina yoyote ile!

naombeni ushauri wenu tafadhalini!

Umeoleshwa jini... linakufanya usipende mwanamke coz lina wivu...
 
Nafasi nzuri sana kwako hiyo Kutafuta Pesa,usiichezee Mkuu tafuta Pesa ohooo,
 
kumbe tatizo unalijua na dawa unayo. kwanini hujibu sms zao... huonyeshi hata kuigiza? kupenda kwingine kunakuja kwa kujifunza na kuiga! angalia picha ujifunze dogo au subiri utimize 35 kama alivyosema binamu Kongosho...

Ajifanye anaigiza ili iweje wakati nafsi inakataa, huo ni unafiki.
"The greatest way to live with honour in this world is to be what we pretend to be"
 
Last edited by a moderator:
Nakuonea huruma bwana mdogo. Hujaoa, hujaanza maisha, tayari unaanza kulia ati huna feelings ya mapenzi. Kweli dunia kazi.
Kijana, mambo za mapenzi zataka utulivu. Weye si wale wenye papara za maisha, unataka kutenda haki. Hutaki kumchezea mtoto wa watu halafu umtupe, unataka awe wako kabisa.
Tulia, utakapofika umri wa kuoa utampata msichana atakaye kuzuzua hata chai hutakunywa.
 
Yani unajua kuna tofauti kati ya kupenda na hamu ya kufanya mapenzi, kwhyo wew tatzo lako liko wapi??
 
Back
Top Bottom