Nina wasi wasi na hali yangu!


Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,874
Likes
590
Points
280
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,874 590 280
habari zenu wana jukwaa hili.

kijana mimi ni me by sex, iam 25 years old now.

tatizo (naomba tu niliite tatizo) ambalo ninalo mpaka sasa ni kuhusu hii hali yangu ya kutokuwa na feeling zozote za kupenda, i mean falling in love with a girl/woman.

toka enzi na enzi nikiwa o level mpaka namaliza elimu yangu yoote ya sekondari kipindi chote cha nyuma, kwa kweli wadau sijawahi jisikia kumpenda mwanamke wa aina yoyote ile either katika mazingira ya shule ama nyumbani.

nilishajaribu kumapproach mdada fulani, for sure hakunisumbua, alinikubalia, lakini cha ajabu mahusiano yale yaliisha ndani ya mwezi!!

sababu kuu hasa ya kuisha/kufa kwa mahusiano hayo ilikuwa ni mimi mwenyewe!! mdada wa watu nilikuwa simjali.

sms ikitumwa haijibiwi, kama ni majibu basi ni baada ya masaa mengi, mawasiliano yetu kwa simu ilikuwa ni baada muda mrefu, hata akinibip mi hata sijiskii kuongea nae!

hii tabia imejitokeza kwa wadada kama wanne hivi mpaka sasa!!

jamani mwenzenu najihisi kuishi dunia ya peke yangu!!!,

natamani sana kuwa na mpenzi! lakini hii hali inanitisha!!

mimi si mtu wa kuwa busy sana labda ndo niseme ndo sababu, wala pia mimi si mwanafunzi wa aina yoyote ile!

naombeni ushauri wenu tafadhalini!
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
834
Likes
5
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
834 5 35
Proffesional yako ni ipi?
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,044
Likes
22,748
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,044 22,748 280
Madhara ya kisaikolojia kwa mtu aliyefanya masturbation kwa muda mrefu ndio hayo
 
M

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
834
Likes
5
Points
35
M

Misa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
834 5 35
Sasa sijui tatizo lako ni nini,je ukiwagegeda unaona watamu?
 
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
18,874
Likes
590
Points
280
Excel

Excel

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
18,874 590 280
Sasa sijui tatizo lako ni nini,je ukiwagegeda unaona watamu?
hivi ulishawahi kula chakula huku ukiwa na mawazo kama ya kufiwa vile?

kooni huwa unajisikiaje?
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,088
Likes
368
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,088 368 180
Muda wako bado, ukifika 35 hivi ndio uanze kustuka.
 
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
994
Likes
8
Points
0
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
994 8 0
Uko safi tu wala usiwe na wasiwasi kama huna marafiki wanaoendekeza Mademu utakuwa na hali kama yako.
Uko safi tu wala usisikitike.
 
Sista

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
3,212
Likes
178
Points
160
Sista

Sista

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
3,212 178 160
sumu tamu usijali anayekunanga. muda bado unao wa kutosha. mapenzi is all about feelings. atakuja kutokea utakayempenda hadi uchanganyikiwe. kuna wanaouwa kwa binduki kwa ajili ya K
 
Last edited by a moderator:
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
834
Likes
40
Points
45
Age
43
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
834 40 45
tumia dawa moja inaitwa lagat kidonge kimoja kwa siku kwa mda wa siku saba!utarudi katika hali yako ya kawaida!
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
18,745
Likes
8,869
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
18,745 8,869 280
unajiita sumu tamu .!!? Unategemea nin..?
 
Last edited by a moderator:
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
14
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 14 0
maumivu yakizidi muone daktari
 

Forum statistics

Threads 1,238,987
Members 476,289
Posts 29,339,083