Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

afadhali amekupiga kibuti, kama una akili timamu utakuwa ndo uponyaji wako. Jifunze kumheshimu mkeo
 
Utajisikiaje kama mkeo akiwa na njemba nyingine...acha upuuzi wewe.
 
hivi nyie mnaomshambulia mwenzenu mambo haya hamfanyi??? acheni hizo bana, ameteleza yaishe mpeni ushari basi..am sure humu wapo kibao wanaocheza mechi za nje
 
pole kaka,naona kila mtu anakukaripia utadhani kila mtu humu ndani ni msafi,usimnyooshe kidole mwenzako hali vingine vinakugeukia wewe...
cha muhimu ni wewe kama sio mtu wa ibada sasa ni wakati wako wa kumrudia Muumba wako,nenda msikitini au kanisani fanya maombi definately utamsahau huyo hawara yako,umwombe Mungu msamaha wa dhati kwa uzinzi ulioufanya wakati wote huo,na huwezi jua hicho kibuti kitakuepusha na nini...usifuate ushauri wa kipuuzi eti kunywa pombe sijui kufanya kitu gani ni ujinga!
 
hivi nyie mnaomshambulia mwenzenu mambo haya hamfanyi??? acheni hizo bana, ameteleza yaishe mpeni ushari basi..am sure humu wapo kibao wanaocheza mechi za nje

Tena afadhali ya huyu alikua na mmoja ndio maana roho inamuuma baada ya kupigwa kibuti, wengine wana zaidi ya 6 humu halafu wanatoka povu kuliko maelezo.

Nimecheka mpaka basi leo lol
 
Back
Top Bottom