Wana jamvi msinichoke,Mimi ni mwanamke mzuri,mwenye sifa zote nzuri za mwanamke
Lakini cha kushangaza sipati mchumba ni miaka mitano sasa Nipo single,Hali hii nimechoka
Nisaidieni jamani,
nani aliekwambia wewe ni mzuri??ameangalia vigezo gani?mzuri kwa kip?sifa zote zipi?na hizo sifa zinamfaa nani??jua kuwa wanaume wanatofautiana kuchagua kila mtu ana sifa zake pia kila mtu anatafta maumbile anayoona yanamvutia!!piakuwa single kwa miaka mitano ni muda kidogo saana huo! vuta subira utapata wakwako!
Miaka mitano Damn!!!!!!!!!!!
Anyway you gotta upgrade ya game n never ever play by the rules.
Ukikaa kusubiri ujaaliwe mume utangoja sanaaaaaaaaaa! If you want shit to start happening then you gotta make it happen!
This involves you lowering your standards not a little way too low! And you better start reviewin ya PREVIOUS REJECTS
Nzuri pesa. Mwanamke mrembo
Miaka mitano Damn!!!!!!!!!!!
Anyway you gotta upgrade ya game n never ever play by the rules.
Ukikaa kusubiri ujaaliwe mume utangoja sanaaaaaaaaaa!
Wana jamvi msinichoke,Mimi ni mwanamke mzuri,mwenye sifa zote nzuri za mwanamke
Lakini cha kushangaza sipati mchumba ni miaka mitano sasa Nipo single,Hali hii nimechoka
Nisaidieni jamani,
Nitafute kwa namba hizi 0764581301 na 0787181383