nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,731
- 4,271
Nimefurahi kusikia kuwa tayari gwiji la siasa Maalim Seif Sharif Hamad, Kafungua ofisi mpya na kuachana na wasaka tumbo wa Buguruni. Nina ushahidi wa hakika kuwa Maalim hajawahi kushindwa hasa wanapoleta figisufigisu. Wako wapi hawa:-
1. Fatma Maghimbi
2. Hamad Rashid
3. Habibu Mnyaa
4. ....................
5. ....................
Nampa mwezi mmoja tu propesa atakuwa kama baunsa wake aliyekong'otwa na kuvunjwa mguu. Na inabidi jamaa alelewe maana ule hauwezi kuunga kwa laana alizokuwa amefanya pale ukumbini.
Big up Maalim Seif, watanzania bado hatujachoka kupigania haki uhuru na katiba pamoja na tume huru ya uchaguzi.